Salaam Sana wakuu,
Naomba kujuzwa ni utaratibu gani serekali inatoa kugawa hizi chanjo na mifugo?
Nina ngombe nahitaji wachomwe chanjo za ECF (East Africa fever).
Nimeshaulizia madaktari kadhaa...
Habarini za Mchana wana Board.
Watu wengi hupata hasara wakati wa kununua magari kwa watu wengine (used vehicles), kwa sababu huwa hawana taarifa ya kutosha kutoka kwa amma wataalamu au jamaa wa...
Fridge langu mlango wake haubani vizuri. Yaani ukifunga kunabaki upenyo unaosababisha baridi kutoka nje. Najua Kuna zile lock Kama za milango ya nyumba lakini kwangu naona kama ni za kizamani Sana...
Corner plot with unfinished house located in a good neighborhood of Mbezi Beach Makonde, few metres from bagamoyo road. Plot is surveyed and It is ideal for residential purpose.
Mahali...
*HABARI NJEMA KUHUSU VIWANJA VYA KIMBIJI VILIVYOPIMWA NA KUUZWA KWA MILION 1.5*
Baada ya mwitikio mkubwa kuliko idadi ya viwanja vilivyokuwa vinauzwa kigamboni kimbiji mtaa wa golani nyuma ya...
Namshukru Mungu nimekabidhi kazi ya Jengo hili kwa Mteja wngu
Ni Wilaya ya Bagamoyo
Tulianza Msingi mpaka hatua hii
Hakika Uaminifu ni Mtaji
Jengo lina vyumba vinne
Master moja
Self mbili
Ukubwa...
Unahitaji mashine zilizo bora nakushauri jipatie mashine kutoka kampuni la strongtech bei yake million moja na laki mbili na nusu tu (1250000)
Sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe na kuicha juisi...
Habari za asubuhi wana jamvi. Ni Mara nyingine Tena nakuja kwenu nikihitaji msaada wenu na mawazo yenu. Nahitaji AMEC engine kwa ajilii ya kuendeshea karasha la kokoto. Kutokana na uchumi kua...
Habari wadau na wanajukwaa kwa ujumla.
Nitakua naleta gari ninazotumiwa na maboss wanaouza gari zao kutoka sehemu tofauti tofauti.
Ungana nami sasa.
TOYOTA VITZ clavia
Cc 1290
Engine vvti
Price...
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga.
Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje.
Pembeni limepakana n...
Blackhorse africa ni kampuni ya kisasa yenye uwezo wakukuondolea wasiwasi wa magri yako bajaji, pikipiki na trecta, kwa teknolojia ya kisasakabisa unaweza ukakiona chombo chako cha moto kupitia...
Habari wana bodi,
Mninga unauzwa, uko kwenye hali nzuri.
Vibali vyote (LATRA, BIMA,MAPATO) viko hai,
Ina bima kubwa(Comprehesive)
Ni gea 8
Inauzwa kwa bei ya kutupwa
4omil(Price is negotiable)...
Lovely double storey house founded in a good neighborhood of Mbezibeach almas street, few metres from Mwaikibaki road, coming with four bedrooms ( all selfcontained ) plus servants quarter. Built...
Quadro Fx3500, Resolution 2560 X 1440 pixels = 2k
Good and Powerfull for Gaming and Graphics..
I was using it for video editing...
Nakupa na vga cable yake
Price 70k
Habari, ninaitwa Mariam Peter ni Business Development Associate wa Solar Sister.
Nina taa za solar za aina mbalimbali kuanzia ndogo za kuweza kutumika kama tochi na kubwa kabisa za taa tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.