Habari zenu wapendwa,
Leo nawaletea offer nzuri kabisa.
Nauza Samsung Galaxy J7 PRO kwa bei sawa na bure kabisa.. inahitajika 280,000/= tu.
Naiuza kwa sababu nimepata simu nyingine hivyo hii...
Jipatie mifumo kwa gharama nafuu na Elimu bure matumizi ya kompyuta. Karibu Gangilonga LTD tunapatikana neema craft iringa.
Pia, tunatengeneza mifumo kutokana na mahitaji ya mteja au taasisi...
Zipo mjimwema mtaa wa kibugumo. Zipo za vyumba viwili kimoja master bedroom sitting room jiko na public toilet. Bei laki 350 chumba kimoja master bedroom sitting room jiko Bei laki 250...
Kiwanja kiwe Salasala, mabwepande, Tabata, uwanja wa ndege, Bagamoyo Road etc
Eneo liwe ni salama kwa kuishi hasa ulinzi. Eneo liwe na maji na umeme na karibu na Barabara.
Zingatia isiwe...
Ndugu zangu wapendwa, nawasalumu nikiwa naanini kuwa wengi mu wazima wa arya njema sana.
Dhumuni la uzi huu, ni kuwaombeni mnisaidie niinuke.
Waswahili husema kupeana ni kikoa, na hisani huanzia...
Wadau naomba kama Kuna mtu Ana jaw crusher ya bei nzuri. Mashine ya kutengeneza kokoto nahitaji kama unayo au pengine unaweza kuniuzia au kukodisha nitashukuru
RAM zinauzwa kama zinavooneshwa kwenye picha hapa chini zipo za 2gb na 4gb jumla zote zipo 4 chukua zote kwa 100k ni nzima na zilitumika kwenye computer za kufundishia kwa muda tuu
bei zake...
Giant's pro Electronics niwataalam wenye weledi na uzoefu katika malekebisho ya vifaa vinavyo tumia umeme tunafanya kazi popote tutakapo hitajika na kazi zetu ni za uhakika na uaminifu mkubwa...
Habari za leo marafiki,
Kwa wale wanaotaka kutuma fedha nje ya nchi au kupokea kutoka nje ya nchi karibuni.
Natoa huduma ya kutuma na kupokea pesa nje ya nchi (UK, US, na CHINA) kwa njia ya...
JINSI YA KUONDOA TATIZO LA BOOST UNAVAILABLE KWENYE FACEBOOK
Siku hizi watumiaji wa Facebook haswa kwenyemasuala ya matangazo (sponsored ads) Kwenye Pages Hukumbana na tatizo la BOOST UNAVAILABLE...
Endesha Biashara yako bila kuumiza kichwa kwenye maswala ya mahesabu kwa programu hii iliyotengenezwa kwa lugha yetu ya KISWAHILI.
Programu hii ni mahususi kwa biashara yoyote ambayo muuzaji au...
Wana jf napenda kuwatangazia kwamba nahitaji kununua pikipiki aina ya Boxer 150 / XL 250. Hivyo kama kuna mtu anauza pikipiki yake naomba tuwasiliane.
Bajeti yangu ni Tshs 548,590/=
Nb
=...
Wiki iliyopita nilieleza hapa kuhusu kusikitishwa kwangu na kasi ya mtandao wa airtel baada ya kwenda dukani kwao kununua line yao tena nikapewa 4G na zawadi ya GB 4 za internet alafu ikawa...
Jamani habari za jpili, kila mtu na kilevi chake mimi nina kilevi cha gari aina ya Suv kubwa angalau yenye body weight tan mbili na kuendelea, nilikua na landcruiser PradoTx imeshaenda, hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.