Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
gari brevis au verosa inahitajika kwa pesa taslimu 3m gari iwe katika hali nzuri yenye uwezo wa kufika sehemu yoyote tanzania..nipo mbagala zaidi nichek pm
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Je unasumbuliwa na mapunye au chunusi za mda mrefu? Basi solution lako ni shaza soap,sabuni kutoka burundi ambazo zimetengenezwa kutoka nchini burundi zenye mchanganyiko wa flavour ya lemon,zenye...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Kiwanja kinapatikana Utowangoma ni Km 1 toka barabara kuu ktk njia ya kwenda Kambi stoo.Tuwasiliane kama unahitaji kwa simu namba 0677089280
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nauza CPU ya Computer kwa bei nafuu Ni Dell Vostro Ram 4 GB Hard Disk 800 GB Bei laki mbili (200,000/=) Ukinunua nakupa Keyboard na mouth bure Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari za wikiendi pevu wadau wa JF, Kutokana na uzoefu wetu, tumeshuhudia watu wengi wakipata hasara pale wanapoagiza bidhaa nje ya nchi kutokana na sababu mbalimbali. Ni kweli kuagiza kutoka...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Honda today af61 4 stroke engine Speed 60kmh Full tank 4.5L Nzuri sana Bei 995000 Call 0774 318 626
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta gari ya kukodi yenye majina hayo hapo juu kwa ajili ya (kukodi) kazi ya mkoani, kama wewe unayo au kuna mtu unamjua anayo mpe ujumbe huu anifate private Ntampa maelezo zaidi ahsante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada wenu. Ninauza kiwanja changu ili niweze kupata Mtaji maana mambo yamenibana sana. Ijapokuwa niliplani kujenga nyumba ila nimekwama na hiyo ploti ndio Inaweza kuninyanyua...
1 Reactions
6 Replies
993 Views
Husika na Kichwa Cha Habari Tunauza Nondo za Ujenzi Jijini Dar es Salaam 8 mm, 10 mm, 12 mm, 16 mm , 20 mm, 25 mm, 32 mm Usafiri ni Bure Kuanzia Tonne 1 na Kuendelea 1 tonne - 12 mm (40 feet)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TOYOTA I.S.T INAUZWA BEI MIL 7.5 FULL AC MZIKI MNENE NEW TYRE&RIM SPORT CC 1290 ENGINE 2NZ MWAKA 2005 KM 105000 Mahali iliko: BANANA DAR ES SALAAM.. #CALL 0683011003
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamvi. Natafuta fundi mzuri na anaejielewa wa LED tv yangu. Ina miaka miwili na ushee ghafla juzi imeanza kuonesha nusu screen mistari chenga chenga na nusu ingine inaonesha clear...
1 Reactions
43 Replies
7K Views
Husika na kichwa hapo juu mwenye nacho anicheck kwa no 0678288666 hii kiwe used au kipya kwa bei za kitanzania.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza gari aina ya Honda Stream kwa milioni 9M haina mwezi tangu itoke bandarini Wasiliana nami kwa 0716727741
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Offer ni 800,000/= iwe na document zote, simu 0626245934.
1 Reactions
1 Replies
478 Views
Habari. Kuna ndugu ameniomba nimpostie tangazo lake. Product tajwa hapo juu inauzwa.. Vitamax double shot. Ni product kutoka Malaysia imetengenezwa kwa asali na mizizi, Haina kemikali hata...
0 Reactions
2 Replies
953 Views
Kwa mtazamo wangu binafsi naona jamaa amefikiria vizuri sana. Serikali yetu ya CCM hii tusilaze damu tuchukue fasta. Na wapinzani nawaonya, Serikali ya CCM ikichukua huu ushauri hahahahahaha...
1 Reactions
12 Replies
854 Views
Gangilonga ni mabingwa kuuza computer aina zote zenye ubora wa hali ya juu bila kusahau warranti, iwe chuo au games au kazi binafsi. Pia, tunatengeneza computer zenye matatizo mbali mbali kwa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari JF, poleni na majukumu ya kila siku. Leo napenda niwajulishe kuhusu mafuta ya alizeti nauza elfu 26 kwa lita 5 kwa wakazi wa Dar es Salaam. Unaweza kuagiza popote ndani ya dar na huduma...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Toyota CHASER BALLOON GX 90 Cc 1800 engine number 4s Full tinted Full documents Reamsports Safar popote mkoa wowote call 0683011003 Location Ukonga Bei million 2.5
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom