Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mzigo ni 160,000 njoo nikuuzie kwa 140,000 SPECIFICATIONS UKUBWA NI TERABYTE 1, PERFORMANCE & HEALTH NI 100% SPEED 3.1 Nipo Dodoma piga simu 0625796805
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nauza gari yangu toyota Carina Ti, haina tatizo lolote, AC inafanyakazi fresh. Bei ni milioni nane ( 8ml) Kwa aliye serious njoo tufanye biashara. Madalali kaeni pembeni tafadhali Picha kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Hisence Smart TV 40 inch slid full hd 1920×1080 pure HD HLG support game enhancer wi-fi n ethernet connectivity screen mirroring tech integrated chrome browser 2HDMI 2USB &OPTICAL ENERGY STAR...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Karibuni kujifunza biashara. Ni muda mrefu sana toka niwe humu na kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha, sikuweza kutumia kabisa social platforms yoyote. My name is Maedson Mahonge...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni pilipili nzuri tamu inatoka kwa Jirani zetu wa Rwanda Niliwahi kufika na kuionja hakika vitamu ukala na nduguyo na nduguyo ndio wewe Pia inasaidia kuleta uzima si wa millele kwenye sehemu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habar zenu, Kijana mwenzenu ambae ni mdogo wangu ni mtaalamu wa kupaka rangi majumbani na maduka hata ushauri anakupa pia naimani kwa bei kamwe hamtashindwana ni mchapakazi haswaaa Hizo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kitanda kinauzwa kipo Bunju B Bei 120000 Mawasiliano : 0684848801
0 Reactions
3 Replies
664 Views
Habari wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nauza TV aina TCL inchi 43 bei Tshs 600,000 mwenye uhitaji anicheki kwenye namba hii 0628751656 mimi nipo Sinon Mashineni Arusha
0 Reactions
3 Replies
761 Views
Toyota RUNX CC 1490 Full ac BEI ML 6 0683011003 Location airpot, Dar es Salaam.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji dreva wa muda mwenye leseni ambayo ni updated ipo carent ,mstarabu aniendeshe leo tu ,nitakuwa ..anizungushe mjini na kunipeleka bagamoyo malipo ni 35000/- kazi itaanza saa nne mpk saa...
1 Reactions
2 Replies
708 Views
Processor intel corei5, 1.8ghz , Cpu 8. HDD 1000GB, RAM 8 GB, Display 15.6 Backlight keybord Price 1.4 mil Location Ilala, Call 0714894219
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Nauza hilo box la aluminum kwa yeyote anayehitaji anitafute lipo BUNJU B BEI 50000 Simu 0684848801
0 Reactions
1 Replies
692 Views
TUNAUZA HIKI CHOMBO, NI MPYA KABISA INASIKU YA PILI TOKEA KIINGIE JIJIN DASLAM 0715 378899 0687558785 2.3mil
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Tunatengeneza magari aina zote na kwa uaminifu wa hali ya juu kabisa,tunapatikana Mwenge na popote tunafika ndani ya Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0672513370.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nataka kununua, nitapata wapi hapa Dar es Salaam?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza shamba. Shamba lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya Kiparang'anda). Lina heka 4 zinapelea kidogo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza samsung a21s ram 4gb memory 64gb camera mp 48 ipo clear ni mali yangu hata ukitaka kuandikishana sawa bei 290k Ukiwahi ndio mali yako 0689719676
0 Reactions
6 Replies
960 Views
Habarini wanajukwaa. Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza pipi na Big-G, je wapi naweza kupata pipi kwa bei ya jumla? Nimetembelea Kariakoo na Manzese ila nimeona bei ni zile za wanaouziwa...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Wana bodi nakuja Bongo sitaki kupanga wala kuishi guest ajili ya kubana matumizi nahitaji Mobile house, kwa bei nzuri zinapatikana wapi DSM, nahitaji hicho kitu Kiwanja kiko salasala
2 Reactions
64 Replies
10K Views
A-level Kwa wale Form five Lisiters QT Walimu Sasa notes zote zinapatikana kwa mfumo wa softctopy full package unatumia mpaka unamaliza A-level. Ni masomo yote matatu (3) ya combination kila...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Back
Top Bottom