Mahali: Mbezibech Shule
Bei: Tshs 250,000 Kwa Mwezi
Nyumba ina vyumba viwili, choo cha public ndani, na Sebule.
Haina jiko ila ina kibalaza unaweza kutumia kupika.
Maji ya dawasa yapo, parking...
Chumba na Sebule, Choo cha nje.
Mahali: Mbezibeach Kwakomba.
Bei: Tshs 100,000 kwa Mwezi.
Ina: Fensi ns geti, Maji ya dawasa masaa 24, Parking ya Usafiri, Dakika nne kwa mguu hadi kituoni...
Vijana mliopo mitaani na wale ambao mmemaliza vyuo vikuu lakini bado hamna kitu cha kufanya tunawakaribisha katika mafunzo ya ufundi pikipiki kwa mda wa miezi miwili ada ni laki mbili...
Elimu ya...
Viwanja vipo Dar es Salaam Kigamboni mwembe mdogo karibia na chuo cha Kigamboni College of Health and Allied Science,
mita 35*35
Bei Mil 5.5
Karibuni sana
Kama kichwa cha habari kinavyosema nipo tayari kulipa 10,000 kwa siku na biashara yangu ikichanganya tunaweza kuongeza dau.
Machine iwe kwenye hali nzuri inayotumia umeme wa nyumbani.
0624792393
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki.
Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo.
Viwanja vipo karibu na barabarani na...
INAPANGISHWA NYUMBA
Nyumba ya Vyumba 3 (1Self), pamoja na Sebule, jiko na Choo cha Kuchangia.
Nyumba ipo yenye kwenye uzio.
Mahali: Mbezibeach Samaki, nyuma ya shamo tower. Upande wa Kulia kama...
APPLE ARTISTS GROUP[emoji327]
Inawatangazia kwa wasanii ambao wanapenda kufanya sanaa ya uhigizaji na wasio wasanii ambao wao nao wanapenda kuigiza
Tunaitaji wasanii watakaopenda kujiunga na sisi...
Nakaribisha wateja Wa kutoka mikoani ,kuwa nauza karanga kwa bei ya jumla kabixa kutoka Urambo tabora,kwa Mteja Wa dar tunamfikishia mzigo ndio anatoa hela,au akipenda analipa kabixa,mikoa mingine...
Habari wakuu Ninauza Mashine nzuri simple ya kuua Mbuu
Namna ya kutumia mashine hii
Utaitumia wakati wa usiku unaingia chumbani kwako unazima taa funga mapazia chumba kiwe na Giza
Chomeka hiki...
We BASAP AFRICA COMPANY,office at kinondoni,morocco, near dawasco kinondoni office,with international proffessionals for all
-needs of installation of cctv and beem securities.
-all it...
Nauza vitabu vya Lugha zifuatazo
1. Spanish
2. Chinese 中文/普通话
3. Korean 한국어
4. Japanese
5. Russian
6. Kijerumani
Pia na dictionary za hizo lugha zote.
Pia kama kuna kitabu chochote ambacho...
Njoo sasa tukuagizie simu aina ya IPHONE, SAMSUNG, HUAWEI, GOOGLEPIXEL, XIAOMI, ONEPLUS pamoja na simu za batani kama vile NOKIA EXPRESS MUSIC n.k
Kuanzia iPhone 6 hadi iPhone X utajipatia...
all cars
European/Bmw/Audi/Range/
chinese/Fotin
Japanese/Toyota/Nissan
American/jeep
if you have seen checkengine popup,ABS light or you want to do Oil reset after normal services check us now...
Habari ya leo wakuu,
Mimi ni mjasiriamali nnaye jihusisha na usafi nimejikita zaidi katika uchafu sugu ulio shindikana mfano kung'arisha masink yaliyo na uchafu sugu,Tiles zilizo na uchafu...
Jiko la gesi LA kukaangia chipsi linauzwa kwa 70000 tu. Lina regulator ya high pressure na pipe yake ya mita tatu. Limetumika mwezi mmoja tu.
Lipo mbezi beach-salasala. Atakaehitaji anicheki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.