Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nimeshusha BEI 900k FAST DEAL TCL SMART TV 55 INCH IPO KATIKA HALI NZURI SANA INATAKIWA 900k LOCATION MAGOMENI KAGERA 065-422-4700
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba Inauzwa KIGAMBONI VIJIBWENI, Yenye Vyumba (3) vya Kulala Kimoja wapo ni Master Public Toilet Sehemu ya Kulia Chakula Jiko Nyumba bado Ijamaliziwa ipo kwenye Lenta Kiwanja cha Nyumba Kina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo. Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kabati zuri kabisa la kuuzia chipsi lina portion tatu na vioo safi naliuza kwa being ya laki moja tu. Limetumika wiki mbili tu. Nipo mbezi beach sala sala. Atakae hitaji anicheki 0679478758 au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Gari ipo katika hali nzur xn na imetumika miez michache xn tz,ni model ya 2008,vvti eng,55k milleage,1490cc,na ni fully duty paid,bei yake 23m maongez kidg,piga 0768359292/0678224427
1 Reactions
9 Replies
9K Views
Habari wandugu, Tunakodisha tablets for data collection au kwa kazi yeyoye inayohusiana na matumizi ya Tablets. Zina Kamera zenye ubora na za kisasa zenye uwezo mkubwa. Tunazo nyingi na za...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
HP LCD monitor Size: 47 cm (18.5 in) widescreen; diagonally measured With VGA and Power cables Price: 60,000/= Tshs Location: Sinza Mori near Lufungila Bus Stop Contact: 0752776793
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jiunge na MAFUNZO ya UPIGAJI PICHA kitaalamu (DIGITAL PHOTOGRAPHY).Tunapatikana KAWE-DAR ES SALAAM. Mafunzo yanaendeshwa kwa lugha ya KIINGEREZA na KISWAHILI. Pia Gharama za mafunzo ni Nafuu na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello JF! Kwa wale wamiriki wa taasisi, Kampuni, ama biashara yeyoyote nina ofa yenu leo[emoji3][emoji3]. Ofa yenyewe inahusu proffessional poster design yenye maudhui ya Eid, kwa ajili ya...
1 Reactions
0 Replies
566 Views
Habari waheshimiwa Wataalam au wajuzi wa printer nina shida na Epson Printer kwa ajili ya kuprint DVD cover za HD picha so kwa anaejua naweza anza na printer ya aina gani hasa za Epson ambayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nawezaje kupata nyumba ya kupanga kwenye majengo ya NHC kati ya Posta au Kariakoo, Wajuzi naombeni msaada wenu Tafadhali. Budget ni laki 4 kwa mwezi.
3 Reactions
47 Replies
9K Views
Karibu nikuuzie hii mashine. Imekaa muda mrefu kidogo bila kutumika ila inawaka vizuri sana. Iko full document Changamoto zake: Betri sio zima sana Master brake ya mbele Breki ya mbele Hivi...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
TOYOTA HARRIER Engine 5S, Cc 2160 Mwaka 2000 Rangi Black Bei 16.5 million Call/whatsapp 0672697409
2 Reactions
104 Replies
17K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta wauzaji wa mbao wenye mashine za kupasulia mbao. Ukiwa kama mtu binafsi ama kiwanda waweza kunipm pia kama ni wholesaler wa mbao pia...
1 Reactions
1 Replies
842 Views
HDD 500 Ram 4 Pro 1.6 Aina HP Pro Book 6360b Bei 190,000 Cont 0628674204 | DSam Shida *Haikai na chaji *Spiker inamikwaruzo kwa baadhi ya video inalia vizuri
1 Reactions
3 Replies
646 Views
Ukubwa wa kiwanja: Kaskazini mita 8 Kusini mita 27 Magharibi mita 21 Mashariki mita 35 Kiwanja kipo kwembe ,kituo cha mabasi luguruni ( kwa mkuu wa wilaya ubungo) ,njia ya kuelekea ofisi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Lipo kwenye hali nzuri mwenye nalo anahama mkoa kesho hivyo atakaehitaji ni aje achukue leoleo kimara. Tsh 120000 bado lina hali nzuri sana dukani ni laki3 Tuwasiliane pm
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima kwenu wajasiriamali tunawaletea mashine za kukaanga,kuchemsha na kunyonyoa kuku boresha biashara yako kwa hizi mashine bora kutoka strong tech Kaanga samaki kisasa zaidi. tunapatikana...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Vifaa vya umeme jumla na rejareja Duka lipo Mkolani Mwanza, nakuletea ulipo. mafundi umeme karibuni sana. 0626825490
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Nauza laptop yangu niliyokuwa nafanyia tafiti juu ya kilimo na ujasiriamali baada ya zoezi kukamilikaili nipate fedha ya kugharamia vifaa vya tafiti inayofuata: Ndani ya laptop hii kuna program...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom