Hi guys, naomba mniunge mkono Nina HEAVY DUTY blender za SILVER CREST Zenye watt 4500,[emoji1491]
Ni nzuri Sana na zinafaa kwa shughuli nzito za Office na nyumbani.
Zinasaga nafaka,lishe ya...
Unaweza kuweka oder yako kupitia namba hii hapa 0786866021 au whatsapp namba 0659971309 keki zetu ni tamu sana na hautojutia kula keki zetu[emoji1374].
Tunauza bidhaa nzuri zilizotengenezwa kwa mti wa muanzi yaani bamboo tree, bidhaa ni nzuri, zipo kwenye kiwango cha ubora wa juu na salama kwa matumizi.
JE, FAIDA YAKE AMA UPEKEE NI UPI?
Kwanza...
-Kiwanja ni kikubwa sana kikiwa na ukubwa square meter 1350 (45 kwa 30)
-Kipo Mbezi Msumi njia panda ya kavimbirwa
-Kinaface barabara kubwa ya mtaa
-Kiko tambarare
bei; mil 16 ( mazungumzo...
Wadau habarini za saa hizi? Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa letu.
Napenda kuwajulisha kwamba ninauza puppies wa mbwa aina ya German Shepherd (maarafu kama mbwa wa kipolisi) wenye umri wa...
Tunauza machine mpya kabisa kwa za hard ice cream au maarufu gelato.
Voltage: 110V/220V 50/60hz
Power: 1.6KW
Size: 525 x 490 x 640mm
Weight: 65kg
Cylinder : 5L
Cylinder Size: 22 x 10.5cm...
Mashine ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa
Inachuja yenyewe
Inaweza kusaga
kabisa,ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa
Inachuja yenyewe
Inaweza kusaga mpaka miwa...
Miliki kiwanja kizuri chenye hati
Na kwa gharama nafuu
Barabara zimechongwa
Maji na umeme vinapatikana
Vipo katika mikoa ifuatayo:
Dar(vipo kigamboni maeneo tofauti tofauti.
Arusha(murieti...
Heshima kwenu wadau..
Nauza T-Shirt heat press, heavy duty, nzuri kabisa for transfers image and logo on T-Shirts, namba na majina kwenye jezi za michezo.. kuprint leso, vitambaa etc
Mpya kabisa...
Ninaweza kupata mawasiliano ya mafundi wa finishing ya nyumba Kama ifuatavyo :-
1. Gypsum designer
2. Paint designer/skimming
3. Tiles
4. Garden designer
5. House decorater
Ahsante.
Do you wish to be competent organizational fundraiser?
or
Do you inspire to be the best on project proposal writing?
or
Would you like to be a good project manager with competent knowledge...
Husika na kichwa habari hapo juu line za uwakala zinahitajika, line zinazohitajika ni Tigopesa, Airtel money na M pesa dau ni laki kwa Tigo laki kwa mpesa Na 70 kwa Airtel money
Hellow, r u fine?
Tafaadhali Nicheck ukihitaji huduma ya muundo wa picture (Graphic Design)
Karibu kwa
-Visual identity
Logo, Business Card, ID
(Nembo, Utambulisho wa biashara, Kitambulisho)...
Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, raumu, spacio ,Ractis ,funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290 Kwa maelewano ya kuleta hesabu ya 150000/week bila kuchelewa. Nipo Dar es salaam wilaya ya Ubungo...
Wakuu,
Nipo Dar es Salaam, kwa anayeuza au kujua wauzaji wa laptops used au refurbished. Nahitaji mzigo mmoja wa laptop aina ya HP kuanzia Core i3 generation ya 5
🙏🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.