Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
I am in Dar es salaam naomba kama kuna mtu anauza subwoofer anitext 0753676663 whatsap au normal text.
0 Reactions
2 Replies
804 Views
JIFUNZE HAPA: Jinsi Ya Kuzivuta Fursa Na Kuzitumia Ndani Ya Muda Mfupi. Unakwama Wapi Mpaka Sasa Hujui Jinsi Ya Kuzivuta Fursa? Huzioni fursa lakini wenzako wanaziona na kuzitumia je, unajua...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Habari za muda huu wakuu, anayeuza moja ya magari yafuatayo. Run x, Spacio, Rav 4, Ist haijalishi number ya gari as long as ni zima. Tukutane PM. Napendelea awe mmliki na sio dalali. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Karibuni wenye watoto, wadogo zenu, ndg, jamaa na marafiki wanaosoma masomo ya sayansi kidato cha 1-4 Physics na Chemistry. Materials haya ni maandalizi mujarabu kabisa kwa ajili ya ufaulu mzuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu Nauza kiwanja ambacho kipo Kimbiji Kigamboni Kina ukubwa wa SQM 520 Kiwanja kina hati tayari toka ardhi Umbali toka feri ni 35 Km Kiwanja cha corner Umeme na maji tayari Mimi mmiliki...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa Anayehitaji App Nzuri kwa Ajili ya Kutunza Kumbukumbu za Mauzo ya Biashara. Inauzwa 20,000/= tu. Anicheck WhatsApp 0764181161 Nitamtumia Link ya Play Store, Pamoja na Video za Namna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salama wakuu. Nahitaji gari tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na Muuzaji akiwa mmiliki itakua jambo zuri zaid.isiwe repainted.isiwe rangi nyeupe wala nyekundu, offer ni 7M. Nawasilisha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu? Kwa atakayekua amesoma uzi wangu wa unaouliza sehemu nzuri ya kuishi kati ya Tukuyu na Kyela atakua anajua. Kikubwa ni kwamba sehemu niliyochagua kuishi ni Tukuyu eneo la Mwakaleli...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Tende zinapatikana.Box moja 10kg. Bei 56,000/= Tunapatikana Dar es Salaam Tunafanya delivery/Tunafikisha mzigo Mawasiliano: 0767941735 Karibuni Sana Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Wap kwa Dar naweza pata apartment ya bei rahisi!! Rahisi nikimaanisha irange 200000-400000/= kwa mwezi Ikiwa katkat ya mji ni vizuri zaidi Ila hata pembezoni sawa tu
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Kiwanja Kilichopimwa Kinauzwa Mahali: MbeziBeach Makonde Kipo umbali wa dakika 3 kwa kutembea kwa miguu kutoka barabara ya lami ya bagamoyo. Kiwanja Kimepimwa na kina hati safi. Ukubwa wa...
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Nyumba kali sana inauzwa wilayani Tarime Mji, maeneo ya Nkende shule ya msingi, ina eneo la 25x40, nyumba ni kubwa sana ina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master, dining room, siting room kubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Husika na kichwa cha Habari Hapo juu. Nawauza Hao sungura watatu Hapo wamezidi utukutu. Naona bora niwauze drop your offer kwa wote hao...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wa JF Nauza nyumba yenye vyumba vitatu, ukumbi, dinning, jiko Vyumba viwili ni master na public toilet moja Nyumba una fance tayari Umeme maji tayari Nyumba ya pili toka barabara kuu ya...
1 Reactions
0 Replies
928 Views
Habari, Pikipiki aina ya Boxer 150cc Inauzwa. Condition: Used Mahali: Kigamboni Bei: 950,000 Documents zipo. Kwa kijana anaeanza maisha itamfaa kwa bodaboda. Kama atakua na uwezo wa kuweka...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Nauza mashine ya juice ya miwa na banda lake na kila kifaa cha kazi ikiwepo vyombo vya wateja,vya maji na extension ya umeme wewe ni kununua miwa tu na kuanza kazi.. Inatumia umeme Imetumika MIEZI...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama unahitaji software hii basi check me on 0713388317/0757749641. Iko complete from Source documents to Final financial statements. Na imefuata sheria zote za kiuhasibu IFRS/IPSAS! Karibu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari naomba msaada kwa anayejua kifaa hiki wapi KIinauzwa nitashukuru sana nimekwama kufanya mishe za dignosis kwenye machine yangu ya LAUNCHER DBS SCAR 5 MODEL DS 201 Nahitaji kiwe volt...
1 Reactions
5 Replies
898 Views
RAHDAN is a Professional Cleaning Company in Tanzania offering services like Home Cleaning & Maid Services, Office Cleaning Services & Fumigation Services
1 Reactions
0 Replies
258 Views
ndugu wana JF, nataka kununua gari dogo (used) nina US $ 3,000 mkononi ambazo naweza kutoa kama downpayment katika mkopo na kulipa kidogo kidogo kwa mwezi kiasi fulani hadi kumaliza deni la...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Back
Top Bottom