Pata; 1.Sandals za Kike kwa kiume zipoo
2.Simple za kike zinapatikana
3. Mafuta ya Nywele yapoo piaa...:Mzuri sanaa yani. Nywele zinajaa na kuwa nyeusi fresh yani.
4.Kwa Wale Mnaohitaji...
Toyota model:Harrier old model
Fuel type: Petrol
Gear: Automatic
Mileage:180km/hr
year:1999
Cc :2160
4cylinder
Price/bei 15.5m
Contact/whatsapp kwa taarifa zaidi 0759827138
Hlw wana jf !
Kwa kuanza niwape wote pole na pilika pilika za hapa na pale katika kulijenga taifa letu la Tanzania na lengo likiwa hasa katika kuimarisha uchumi wa taifa letu kiujumla kwa...
Habari zenu WAkuu ninatoa Offer kama kuna watu wanaotaka kusafiri kuja Ulaya kimaisha au kikazi wawasiliane na mimi nitaweza kuwasaidia kupata viza ili mradi walipe gharama za Pesa ukiitaka...
Heshima kwenu wote!
Natafuta mtu anayeuza madawati ya watoto wadogo chini ya miaka 7 kwa ajili ya kusomea sihitaji yale ya kichina. Hata kama kuna fundi mwenye uzoefu wa kutengeneza naomba kujua...
USED HP Deskjet 4515
-Print, scan na copy
-Inaprint black na rangi
-Inaprint two sided
-Ina wireless print access
- 6.73 cm touch screen
-Ipo kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote
-Bei laki...
Inatumika ku skim nnje na ndani ya nyumba ,ina zuia fangasi kwenye nyumba na inatumika kugandishia mikanda,, zuri zaid inatumia maji tuuu badala ya rangi..bei ya jumla 17,500 tuu 0717 126 175..
Hello jf!!
Wapenzi mume wangu anataka kuninunulia gari, sasa kasema iwe kati ya 3m to 4m hivi[emoji16][emoji16] nitapata kweli nzuri?? Isiwe na matatizo matatizo jamani Na kwenye mafuta isiwe...
Nauza simu aina ya LG 6 plus, simu imetumika miezi minne tu. Ina ram gb 4, storage gb 128, kila kitu kasoro ear phone tu. Bei 500,000. Nitafute kwa simu no. 0684085052
Chumba kuwe sehemu yenye usalama,
Eneo lolote, wilaya yoyote ndani ya Dar,
Kodi isizidi elfu 60 kwa mwezi.
Kama unacho tuma namba pm
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Wandugu natafuta kiwanja Maeneo ya Kimara, Salasala, Tegeta, Goba, Makongo juu, Madale.
Kiwanja kiwe na ukubwa wa zaidi ya sqm1000.
Mwenye nacho ani DM tuongee bei.
Tunasambaza kokoto bora kabisa kutoka Moja kwa Moja kwenye Karasha letu Lililopo LUGOBA, Kokoto zetu ni bora kabisa inayozalishwa kutoka katika Mashine za Kituruki.
Sifa kubwa ya kokoto zetu...
1.Ufungwaji wa Dish
- Uimara wa sehemu ilipofungwa
- Fundi amefungaje je kama huyu
- Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal)
- kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable...
StarTimes 4k smart Tv
Full Android Tv
Inch 55
4k resolution
UHD
Wi-Fi
Bluetooth
BRAND NEW
Location Dar
BEI POA kabisa imebaki 1pc
850,000
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.