Salaam wakuu
Ni wapi naweza kupata suti za bei rahisi za 100,000 au 110,000 Lakini classic
Maana nimezunguka Kariakoo nyingi ni kuanzia 150,000 hadi 180,000
Na mimi hiyo hela ya 150,000 sina.
Nauza Sony Alpha NEX-5 14.2MP Digital Camera ipo katika hali nzuri kabisa original box Na inauzwa pamoja na lens zake 2 kama unavyoonekana katita picha imetumika kidogo sana ipo kama mpya bei...
Tunauza vifaranga vya kanga , bata mzinga na kuchi pamoja na mayai.
1: Vifaranga bats mzima cha mwenzi mmoja Tsh 20,000
2:Vifaranga kanga mwenzi Tsh 3,000
3: Vifaranga kuchi mwenzi Tsh 10,000
1a...
Habari nataka kununua kwa bei ya jumla tambi za dengu,Karanga za Mayai,ubuyu mzuri(vinto),krips aina zote (viazi,mihogo,ndizi)wapi naweza kupata tafadhari
Kama Una Pembe za Ng'ombe kuanzia Tani 5 mpaka 10 Tuwasiliane, utupe bei yako, tukikubaliana tunafanya biashara.
Popote pale ulipo Tanzania tupo tayari kufanya biashara na wewe..... Iwe kuanzia...
Fungus au rangi kubanduka kwenye ukuta,imekuwa moja kati ya changamoto kubwa sana hasa kwa nyumba za daresalaam kwa sabab ya
Mchanga au udongo wake una chumvi chumvi nyingi
Maeneo mengine water...
Habari za wakati;
Kwa wale ambao wana hanangaika sana kuhusu aina ya Biashara kiwango cha mtaji na usimamizi wa biashara zao tunawapatia huduma ya ama kuwaandalia a custom business plan au ready...
Gari ni ya biashara, haina tatizo lolote. Inafanya kazi mpaka muda huu.
Wasiliana nami kwa namba 0769917961. Kwa uhakika zaidi njoo na fundi ili kujihakikishia ubora wa gari. Karibu.
Year of...
Habari wakuu,
Natumai ni wazima wa Afya
Tunauza bidhaa toka China kwa bei ya kiwandani...
Kuanzia simu, nguo, saa, viatu, vyombo na urembo wa na vipodozi vya kina dada...
Bidhaa ni za kuagiza...
Kiwanja kinauzwa kipo Mvuti -kiboga, Mvuti ipo katikati ya mbagala na Chanika now kinauzwa kwa tsh 1.2m tu ukubwa 30x16m.kutoka Mvuti stand mpk site bodaboda tsh 2000
0657999034
wadau ni aje,naomba kujua ni wapi naweza kupata matufaa au maapple yale makubwa na gharama zake kwa hapa dar es salaama,au la niwap naweza pata juice ya apple fresh kabisa iliyotengenezwa vizuri...
Tunauza shuka za mtumba grade AA size tofauti jumla na rejareja.
Jumla 15000
Rejareja 20,000 ukitaka na foronya zake 2 inakuwa 25000
0717373037 kwa oda
Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%)
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
6*6 @70000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65000
6*6 @55000
Kwa waliopo...
Tunauza shuka za mtumba grade AA ukiziona ni km hazijatumika.
SIZE 6*6
BEI. 20,000 tu
Jumla 15000 kuanzia pics 10
Tunapatikana SINZA MGABE
Tunapokea oda toka pande zote na kuwasambazia wateja,wa...
Wadau,
Pata Chia Seeds kwa bei chee, nauza kg moja kwa shilingi 5000. Napatikana Karagwe-Kagera, mikoani natuma kuanzia kilo 20.
Kwa wale wanaohitaji mzigo mkubwa upo wa kutosha. Chia seeds ni...
Habari wakuu
Tumeanzisha business ya movie delivery
Tunasambaza movie za aina zote(kasoro za kibongo) maofisini na majumbani
But conditions for delivery ni kuanzia movie/series au episode tano
Bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.