Habari.
Camera Nikon D5200 inauzwa bei sawa na bure. ina charger, battery, cable zote, lenz 18-55mm na memory GB 4.
bei ni 890000(laki nane na elf tisini tu). wasiliana kwa namba 0711448886.karibu
Salamaa!!
Kwa mwenye kufahamu naweza kupata wapi NCK Box latest na ambayo haichagui simu, yani inaweza kufanya kazi kwenye simu tunazotumia Tanzania naomba anifamishe naweza kuipata wapi...
[emoji625]karibu Bura Jewelys Room ni wauzaji wa hair care,[emoji1622][emoji1622]
[emoji625]CALL,SMS,WHATSAPP #0683329132[emoji625]
[emoji419] Min blowdrayer 25000/=
_v 1000
_inamoto mkali
_ina...
Natafuta mashamba ya kulima mahindi ya kumwagilia Mororgoro yeyote yule mweneye idea wapi nitapata shamba ambalo nitaweza kuchimba kisima na maji yapatikane mwaka mzima anijulishe
Wakuu katika miangaiko yangu nimejichangachanga hapa nimepata Mil 8 nahitaji kununua ndinga kwa mtu anayeuza tuwasiliane. Vigezo gari iwe katika hali nzuri, ambayo iko chini ya km 100,000 na...
Hiko cha kwenye msingi wa jiwe
Chenye bamba 1129
Hicho ktkt ya hiyo duara
Ukubwa sqm 611
Ni km 3 tu kutoka City Centre(katikati ya jiji)
Kipo mtaa wa Chinyoya kata ya kilimani Dodoma mjini
Price...
Salaam Wanajukwaa, Nina shida ya haraka,Nauza inverter pamoja na controller yake vyote kwa pamoja kwa Tsh 250,000/=!
Inverter inaukubwa wa 3000W.
Kwa alie serious tuwasiliane kwa :-...
bei 350k imepungua to 300k
location mwenge mpakani 0787202143
used Dell latitude e6430 nzuri for gaming and graphic
processor :intel Core i7-3520qm clock speed 2.6 GHz and 3.6 GHz with turbo...
Nauza pikipiki bado mpya kabisa imepaki ndani tu ipo kwenye hali nzur sana ni automatic
Pikipiki ipo Msasani fitness
Bei ni dola 650.
Simu namba
0719590756
Inauzwa mashine ya kuchomea aina ya CEM SV-260.
imetumika lakini bado iko kwenye hali nzuri sana
Bei ni mil 1.5
Iko Dar
njoo 0763969066
ziko storage nafasi ni finyu sikupata uwezo wa kupiga...
nauza mashine ya kusaga na kukoboa nafaka aina ya deer kutoka India.
unauziwa mashine ikiwa na mota zake pamoja na control boxes na switches na waya za kutoka kwenye mota kwenda kwenye control...
Habari, kwa wapenzi wa ubuyu na wajasiriamali,tunauza ubuyu mtamu wa Zanzibar,tupo Zanzibar na tunautuma mpaka bandarini dar es salaam kwa sh. 28,000 tu kwa ndoo ndogo ya Lita 10.gharama ya...
Tcl led 40d2700 smart tv nch 40
Tcl smart tv full hd resolution ina access ya internet Smart tv, ethernet/wi-fi wireless unaweza connect na simu yako or router na kuacces internet kuperuzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.