Good condition Toyota Rush available for sale.
8.5 Million Tshs .
Buy now for 7.5 million (no negotiation)
Engine size: 1490cc
Manufacture yera:2006
Transmission: Manual
Color: Black
Fuel: petrol...
Toyota alphard iko sokoni
gari ilibadilishwa engine kutoka engine ya 3000cc, na sasa ipo ya 2400 cc
ipo katika hali nzuri
Namba D
njoo na fundi wako ujiridhishe
mawasiliano
0758728258
Shop for the best Home appliances & Electronics including Tv's, Home theatres, Soundbars, Fridges, Washing machines, Gas Cookers, Microwaves, Rice cookers, kettles, Water dispenser etc.
Contact...
Shamba hili lipo maeneo ya Mkuranga kikungo sehemu panaitwa Kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya kiparang'anda).
Lina heka 4 zinapelea kidogo.
Kuna...
Habari kiwanja kinauzwa Mbweni block 2 kina ukubwa wa square meters 1254 kina hati kimepimwa bei mil 40 maongezi karibuni sana kuona ni bureeee eneo ni kubwa mno
Contact 0714787795
Blender ndogo za kuchaji
[emoji117] Ujazo robo lita
[emoji117] Inakaa na chaji muda mrefu
[emoji117] Inasaga matunda pekee
[emoji117] Haisagi vitu vigumu
[emoji117] Rahisi kutumia
[emoji117]...
Habari za leo ndugu na marafiki, natumai mu wazima wa afya njema. Bado naendelea na uchoraji na ubunifu wa ramani za nyumba bomba.
Hii ni moja ya ramani ambayo naendelea nayo na hapa ndipo...
Hello peoples.
Useful content should be at the core of your marketing.
Traditional marketing inakua less effective; Kama m2 wa masoko unae ona mbali, unajua kabisa lazma kua na mbadala wa...
Wadau habari! Naomba kuuliza nimesikia tangazo clouds kwa haraka kikashindwa chukua namba, kwamba wanauza viwanja sema unalipa kidogo kuanzia elfu 33000 kwa mwezi naomba kwa wanao wafahamu...
Wadau habari za jioni naulizia eti hapa DSM kuna duka gani wanauza miwani za macho yenye upungufu wa uwezo wa kuona .. maana kuna hospitali moja nilipimwa macho nikaambiwa niko na shida ila sasa...
Habari za leo wadau,
Kama nilivyo ahidi kwamba nitakua na tabia ya kupost ramani ya nyumba ile ambayo naendelea kuchora.
Hivyo hapa ndipo nilipo ishia. Ila bado naendelea nayo kila napo pata muda.
TAFADHALI SINA UFAHAMU WA KUTOSHA WA MAJENERETA.
HELA YANGU SI KUBWA
NIMEAMBIWA JENERETA 5.5 KW NA LILE LA 6KW NI MAZURI.
NILITAKA KUCHUKUA 5.5 KW NIKAAMBIWA IPO 6KW NDO NZURI.
HEBU NISHAURINI...
Tumia OMGrace Black Castor Oil ni kiboko kwa ukuzaji na utunzaji wa nywele,kama unasumbuliwa na mba na miwasho baada ya kusuka pia ni suluhisho lako.
ukinunua utapokea na karatasi ya maelekezo...
~ Funga mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako
~ Mfumo wako wa petrol au diesel uliopo hauondolewi unabaki
~ Kwa Mtungi wa kilo 15 gesi asilia unaogharimu 22,500 unatembea kilomita 200
~ Chaguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.