Habari?
Kama kuna mwenye kuhitaji gari la sherehe au kwa ajili kuwapeleka watoto na asubuhi wafanyakazi kuwatoa majumbani na kuwapeleka ofisini kama posta au Kariakoo.
Tuwasiliane kwa namba 0686...
Hallow wana jamvi nimewaletea mashine nyingine ya kuranda na kuchana mbao yenye uwezo mkubwa baada ya ile nyingine kununuliwa bei ni sh. 2,800,000 karibu tuwasiliane bei ni rahisi sana tofauti na...
Habari zenu wana JF.
Kwa heshima zote, nahitaji fundi atakaye nifundisha ufundi wa ujenzi, au kupaua au pia finishing na decoration....ambaye nitamlipa posho ya Maji kwa mwezi.
Natanguliza...
Wakuu heshima yenu jamani naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimefatilia thread zinazohusu biashara ya kuku wa kienyeji kwa Dar sijapata majibu ya uhakika naombeni anayefahamu...
Habarini wakuu..!
Naomba msaada kwa mdau yeyote anayejua sehemu ambayo naweza pata trays za mayai za PVC. Natafuta trays hizi kwa sababu zinarahisisha usafirishaji wa mayai
Naomba kwa wale wafanyabiashara wa nguo au watembeaji kama mimi mnaoweza nisaidia kujua ni wapi naweza pata duka la nguo za watoto wa kiume hasa hasa SUTI au pigo zozote za ki ofisi na ki utu...
Kwa wakazi wa Morogoro na mikoani huduma mpaka mahali ulipo, nauza tshirt manga plain kwa jumla bei zetu ni poa sana. Weka oda mapema na rangi ya tshirt utakazo.
Assalam alaykum,
Waungwana ningependa kuuliza kwa hapa Dar es Salaam 1 bag ya skimmed milk powder (25Kg) iwe LATO, NIDO au yoyote yale ni bei gani?
Na naweza kupata wapi hapa mjini?
Natanguliza...
Habarini, wanaohitaji aluminium and upvc madirisha, milango hata profile dar es salaam na nchi nzima kwa bei rafiki kama
1. Upvc kwa (m²) yaani square meter 170,000/=
2. Aluminium kwa (m²) square...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.