Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari Ili biashara yako itambulike kisheria basi yakupasa uisajili kwa kuzingatia taratibu zote zinazohitajika ili uweze kukamilisha usajili wako, unaweza kuisajili ukiwa kama mmiliki binafsi...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Wakuu habari za saa hizi. Subwoofer hii inauzwa ipo katika hali nzuri tu imemaliza ni mwaka mmoja tu toka iliponunuliwa, ina Sound nzuri, Mdudo pia uko vizuri. Bei yake ni sh 160000 Tsh za...
2 Reactions
29 Replies
38K Views
Mara ngapi unaishia njiani unapo buni kitu chako? Hii ni nafasi yako ya kuvaa kiatu cha design yako uipendayo. Lete tukamilishe ndoto ya kudesign style yako uipendayo mguuni mwako.. Tembelea...
1 Reactions
0 Replies
770 Views
Mara ngapi unanunua viatu vya shule kwa ajili ya mwanao na havidumu muda mrefu,wazazi mnajua jinsi gani inakera kununua kiatu kila mara. Mvalishe mwanao hivi viatu usahau kununua viatu kila mara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mko salama! Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing. Nikisema flat nina maana ya...
17 Reactions
87 Replies
12K Views
Jipatie viatu vya ngozi kwa bei nafuu ya 70,000..usisahau ununuapo unapata pair ya socks na shoe polish kwa ajili ya viatu vya ngozi..kwa dar it's free delivery... mikoa mingine tunatuma kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari, Nina Godoro langu nilinunua kwa ajiri ya mdogo wangu ila akawa amepata kazi nje ya dar kabla hajalitumia. Godoro ni Tanfoam 5x 6 lenye box ni nchi 10. ni jipya kabsa halijalaliwa hata...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau wote wa JF, Rejeeni kwenye thread yenye kichwa: Naombeni msaada wa kuchangiwa Bima ya Afya (NHIF) ili kuokoa maisha yangu - JamiiForums Naendelea na usafishaji wa figo, pia...
9 Reactions
86 Replies
11K Views
Assalam alaykum... Moja kwa moja waungwana ningependa kuuliza kwa hapa Dar es Salaam 1 bag ya skimmed milk powder (25Kg) iwe LATO au NIDO au yoyote yale ni bei gani...? Na naweza kupata wapi...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Fundi Nguo anahitajika haraka, awe Ana uwezo wakushona mitindo ya kisasa hasa ya wanawake, mchapakazi mbunifu na mwenyekujituma. Awe na ujuzi wa miaka 3 na ziadi, Mkazi wa Dar..Piga namba hii...
1 Reactions
7 Replies
921 Views
Kwa mawakala na wadau wanaohesabu noti nyingi, Rahisisha kazi zako kwa kutumia Machine ya Kuhesabu na Kutambua Note Fake (Money Counter Machines). Machine zipo za Kutosha na Zina Warranty ya Mwaka...
3 Reactions
4 Replies
946 Views
Wakuu wapi naweza pata hii kwa Dar
1 Reactions
1 Replies
732 Views
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLE MAELEZO Ni nyumba ya ghorofa moja yenye vyumba vinne(4) vya kulala vyote vina choo ndani. Pia ina: -sebule -dinning -jiko -store -Parking kubwa sana -hall for...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama ulipata kusikia kuwa Binadamu ana mkia? Ni watu wachache sana waliopata kuuona; mimi nikiwa mmoja wao. Awali sikuyaanmini macho yangu pale nilipowaona watu wa ajabu. Mili yao ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unapoweka switch on kwenye gari lako ni vizuri ukahakikisha angalau taa hizi zifuatazo zinawaka kwenye dashboard ya gari lako. Taa hizo ni 1. Check engine 2. Oil pressure 3. Airbag 4. Coolant...
7 Reactions
25 Replies
10K Views
Nauza kabati la kuuzia CHIPSI na VITAFUNWA Napatikana Mwanza Mjini Bei 170000/= Maelekezo zaidi Piga 0652 605719 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nataka kuchukua mzigo huo apo, Je iko vizuri kwa waliowahi kuzitumia??
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar wakuu..... Kama kichwa cha habari kinavyoeleza....nipo Mwanza nina uhitaji wa frame sehemu yeyote yenye mzunguko mzuri wa watu....au hata biashara inayouzwa. Ninaomba wakuu mniseidie...
0 Reactions
0 Replies
976 Views
Alminium _tz -------------------- Tatizo lolote kuhusu Alminium -Windows/Madilisa -Door/Milango -Office partition/kugawa ofisi -Cabinet /Makabat Tunafanya kwa kiwango cha juu. Tunampa ushauli...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama unahitaji chumba maeneo tajwa hapa chini nichek nikusaidie,ila masharti na vigezo kuzingatiwa. Kwanza dalali anakula 10,000/= kwa kukuomyesha vyumba na kabla ya kukupeleka advance...
6 Reactions
281 Replies
27K Views
Back
Top Bottom