DN holdings company limited ni logistics company inahusika sana na kutoa shehena za mizigo mbalimbali bandarini kama mawakala wa forodha(clearing and forwading)
Dn holdings company limited...
NAUZA PIKI PIKI LOCATION MWANZA, MAGU
AINA MAHINDRA
COLOUR BLACK
MODEL AROW
CC 110
MWAKA WA KUTENGENEZWA 2015
IMETENGENEZEWA INDIA
TRANSMITION 4 GEAR
CONDITION , GOOD US NEW
INA KM 58,000
DOCUMENT...
Wana JF.
Naomba msaada kwa kufahamishwa ni wapi ninaweza kupata mkopo wa riba nafuu wa kumalizia ujenzi (finishing) ya jengo langu.
Vigezo viwe riba nafuu na muda wa kutosha kulipa deni (kuanzia...
Habari wana jukwaa
Nahitaji chumba single self chenye jiko na umeme wa kujitegemea kiwe popote ndani ya ARUSHA Panapofikika kwa urahisi kwa kupanda gari moja tu la kufika town
Bajeti yangu ni 80k...
Nina design aina yoyota ya matangazo, vipeperushi, mabango na kadhalika.
Wasiliana nasi: +255684101707 kwa watsapp pia utatupata kwa namba hiyo hiyo.
Hii ni moja ya kazi yetu.
NAUZA WALLET ORIGINAL ZA NGOZI NA SAA OG AINA YA STAINLESS STILL (HAZIPAUKI)
CAL.+255 788-224220
+255 767-562153
+255 678-335833
BEI YA WALLET SH.25,000
BEI YA SAA SH.35,000
UNAPONUNUA BIDHAA...
Habari wadau, nauza mota zangu 2 za hp 3 kila moja.Mota zote ni nzima kabisa na hazina shida yoyote.Ni za phase 3.
Zote ni made in germany na zinauwezo kutumika kwenye phase 3.Bei ni laki 3 kila...
Kutana na offer ya kipekee kabisa kutoka kwa Umoja 1.Mambo ya kuamka asubuhi mgongo na umauma sasa basi
Nini: Godoro
Kampuni: QFL DODOMA kampuni bora ya magodoro
Size: 6 x 6 inchi nane (6 x 8...
Habari za jioni wapendwa,
Karibu ujipatie simu ya iphone kwa bei nafuu kabisa, simu ni moja tu na ni used. Haijapasuka wala kukwaruzika pahala na camera yake ni matata.
Simu bado ni nzima kabisa...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa...
Call/WhatsApp 0788622610
Brand New popsicle machine
Ina tray 2 (40 popsicles each)
Inazalisha pisi 80 kwa dk20
Inauwezo wa kuzalisha zaid ya piece 5000 kwa siku
Bei:3,300,000 only
Ukinunua...
Nauza Note 4 mbichiiiii kabisa kwa bei poa 150000 tu (fixed) simu imenyooka na haina kipengele chochote. .....Camera yake iko saaafi clear 16MP
Nipigie 0676723888
Nauza nguo za kike na kiume aina zote. Tunauza tsherts, mikanda, wallets, mashati, gauni, suruali n.k
Waweza fika dukani k/koo mtaa wa manyema mkabala na jengo la ddc, uone ni jinsi gani...
Ukiachana na mambo ambayo watu wengi wanaangalia wanaponunua magari used ambapo mengine ni madogo. Kuna mambo ambayo huwa ni ya kiufundi zaidi ambayo huwa ni vizuri pia yakaangaliwa. Kwa watu...
Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama una eneo halina kazi naomba tukutane, ili tuone kama tunaweza kushirikiana tufuge nguruwe kama washirika mimi nina mtaji wewe eneo.
Eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.