Purchase real and Novelty Passports,id cards,visas,drivers license ,Permits for all countries
Are you trying to change your nationality ? do you need worked papers ? do you want to travel ? do...
Wapi naweza kupaya mashine ya kutotoleshea mayai/vifaranga inayotumia umeme na gesi? Itapendeza kama wahusika ni wajasiliamali wa kitanzania.
======
Pitia uzi huu
Tunauza incubator, mashine ya...
Wadau naombeni msaada, natafuta air fresher nzuri ya kuweka chumbani na chooni...Siyo ya kuspray..nataka ambayo unaweka tu bila kuwa unaspray mara kwa mara...Nitajie majina tu mdau
Asanteni sana
Nipo songea natafuta laptop ya Bei rahisi iwe na uwezo wowote Ila isiwe mbovu Wala isiwe imechoka Sana hata ikiwa min
Bei yangu tsh 100000
Kama unayo nichek 0713861567
Kabati la nguo mninga. Futi 5*6 kabati ni mninga wa Zaman. Halina tatizo lolote linauzwa kwa sababu ya shida imejitokeza.
Bei sh. 550.000(lina milango 3 na droo 3)
Kuna maduka kama laptop city, Discount kubwa, zawadi computers na maduka kibao ya wasomali wanauzaga hizi laptops kwa bei chee kidogo.
Niliwatafuta wanipe connction ila waligoma, Sikuwa na nia ya...
Habari wakuu, nina taaluma kutengeneza hesabu na gharama za materials na idadi ya materials, mfano kutambua idadi ya matofali,mabati, misumari, mbao za roof structure na ceiling blandering/gypsum...
Cal.+255 717-671240
Navunja Bei ... Hii kwasasa ni milion 28
Nyumba. Inauzwa ipo boko msikit upande wajuu Ina vyumba vitatu Master Moja sebule jiko choo uwanja una QM 400 pamepimw hati bado...
Ofa ofa ofa
T-shirt kali zinauzwa kwa bei nafuu, bei karibu na bure,
Kuanzia 5-10 bei ni Tsh 6900
. 11-30 bei ni Tsh 6600
. 31 + bei ni Tsh 6400
Mkoani tunatuma...
Ni nzima kabisa inapiga kazi fresh kbsa
Huduma ya kukufungia ni bure kwa atakaehitaji
Nipo Dodoma mjini ila popote ulipo naweza kukufikia
Location: Dodoma
Bei : 3 Millions
Phone number: 0625803444
Wakuu Habari,
Ninashamba langu Naliuza Ekari 67 na kila eka ni Tsh.3m ,miti aina ya milingoti ina miaka mitano, ambayo baada ya miaka miwili utauza, Nimepatwa na shida inayohitaji fedha...
Gharama za Silent Ocean zipoje?Kuna mzigo wa Laki na nusu nataka niagize sasa nashindwa kujua gharama zao wanachaji vipi
Kwa mfano mzigo wa kilo moja wanachaji shilingi ngapi kuusafirisha kutoka...
Natumia epoxy resin kwenye mbao na chuma kutengeneza saa za ukutani ,meza (kwanzia coffee table hadi zile kubwa kabisa)serving boards,stools pia naweka countertops za maofisini ,jikoni, bar na...
Karibuni mazulia ya manyoya na makapeti kwa garama rafiki kabisa
Kapeti kama hili 80 upungufu kidogo upo
80 pia
manyoya ukubwa sawa na hizo hapo juu bei bei 130k rangi ni cream kote manyoya...
Ipo Dodoma mjini
Inatumia Umeme tu.
Ina piston 2
Ni used kwa miez 6 tu
Ipo katika Hali nzuri unachukua na kutumia tu
Ujazo wake ni Lita 100
Bei 550,000/= fixed
Contact : 0659200302 (WhatsApp)...
Habari wanajamvi naomba msaada wa mtu au company inayoweza nitengenezea logo ya company yangu.....campunkyangu inajiusisha na uzalishaji na uuzaji wa nafaka,
*CHUMBA NA SEBULE*
CHOO NJEE
TILES
GYPSUM
FENSI
MAJI
UMEME
IPO. MBEZI BEACH (BARAZA LA MITIHANI)
BEI 100,000/= KWA MWEZI
MALIPO YAFANYIKE KUANZIA MIEZI MINNE (4)
CALL 0694237241[
Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu nimekuja humu ndani nikiomba msaada wa mawasiliano ya uongozi wa kata ya Upanga mashariki Kwasababu niliacha nyaraka zangu pindi nilipokua huko Dar. Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.