Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kuna gari aina ya fuso tipper zinauzwa,anae hitaji anitafute kwa namba 0753366279 gari ziko moshi Kilimanjaro nigari zilizo ktk hali nzuri kabisa.Nitafute kwa maelezo ya bei
0 Reactions
6 Replies
2K Views
JE, NI MTU MWENYE ELIMU GANI ANAWEZA KUSOMA ACCA? ACCA ina ngazi kuu mbili: 1: Foundations in Accountancy (FIA) 2: ACCA Qualifications HAPA NITAONGELEA TU FOUNDATIONS IN ACCOUNTANCY PEKE YAKE...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Jipatie Samsung flat led tv inch32 full HD..Tv ni mpya ndani ya box inakila kitu. Bei: Tsh 320,000/= Piga / SMS: 0657333769
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Model Number:T3 Camera Format:SLR Can take movies:Yes Auto Focus:Yes Tripod Mount:Yes Lens: 1855MM Sensor Type:CMOS Megapixels:12.2 Image Resolution: 4272 x 2848 (12.2 MP, 3:2), 3088 x...
0 Reactions
4 Replies
620 Views
Asante sana kwa kufungua thread hii. Mungu akubariki na mihangaiko yako ifanikiwe. Basi ndugu yangu damu damu Kama una smartphone utakua katika moja ya binadamu unayepitia haya: 1.unapenda sana...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Karibuni kwa msaada wa IT wa gharama nafuu katika yafuatayo Domain registration Web hosting Mobile apps Web apps Web design Tovuti yetu www.vanniglo.co.tz 0769338868 Wadau wengine mnakaribishwa...
0 Reactions
10 Replies
961 Views
9mil Full ac New tyres Km 89000 Black colour 2az engine Kila muhim safi kabisa 0748001009 0713099309 0710532693 Mbez beach
0 Reactions
3 Replies
786 Views
Hello! Je, wewe ni mfanyabiashara na unapata shida katika kusafirisha bidhaa zako kwenda sehemu moja kwenda nyingine au kuweka record ya mauzo yake pata suluhisho kwa kutengenezewa Vitabu...
0 Reactions
4 Replies
781 Views
Hii Business Idea ni Idea ya kawaida sana ambayo vijana wengi wanaweza kufanya inachohitaji tu ni utayari,muda na mtaji kidogo.I tabadilisha sana mfumo wa Utendaji katika sekta husika na pia...
0 Reactions
4 Replies
811 Views
Mashine ya kutengeneza icecream za kijiti maarufu rambaramba. MPYA kutoka China. Inazalisha icecream 3,000 kwa siku. Inatumia umeme wa majumbani. Fika dukani DSM Kinondoni mkwajuni nyuma ya ccm...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Ninatafuta ofisi hapa Dar es Salaam ambazo naweza kusambazia chakula cha mchana 🥗 🥘 Nina Wali, Pilau, Ugali & Ndizi kwenye MENU . (Ila unaweza kuhitaji kingine ambacho hakipo kwenye MENU na...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
unfortunately has been Deleted
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Wanajf wasalaam? Wakuu anayejua Bei ya bati za rangi na nyeupe kwa Bei nafuu naomba tujuzane nipo Mwanza wakuu.asanteni
0 Reactions
2 Replies
649 Views
Wadau nisaidieni wapi naweza pata vifaa vya bakery kama Oven kubwa, Mixer na vingine vinavyo hitajika kwe biashara hii. Bila kusahau ushauri kutoka kwa yeyote mwenye experience na biashara hii...
1 Reactions
2 Replies
884 Views
Habari wapendwa ni matumaini mko wazima wa afya. Napenda kuwashirikisha fursa ya kuwekeza ndani ya Jiji LA Dodoma. Ni hivi anatafutwa muwekezaji wa kuingia nae mkataba ajenge Jengo la ghorofa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wadau nahitaji website designer kwa ajili ya biashara yangu. Natka kujua gharama zao zikoje?
0 Reactions
4 Replies
940 Views
Jipatie vitenge grade 1 kwa bei rahisi kutoka kwetu kwa sh 28,000 tu za kitanzania. Kwa hapa Dar tunafanya delivery na mikoani tunatuma kupitia mabasi kuanzia pieces 5 na gharama za usafiri...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Ni matumaini yangu wana JF mu salama kabisa, nawakaribisha kwenye huduma tajwa hapo juu kwa wahitaji wote wa website za aina zote, inaweza kuwa kwa biashara ndogo ya kati au kubwa, inaweza kuwa...
0 Reactions
1 Replies
758 Views
Wana JF, Natafuta fundi mzuri wa kuniwekea sakafu za tarazo mjini dar-es-salaam. Kwa wale wasio jua sakafu za tarazo niweka picha hapo chini. Please share contact number kama unamjua fundi anaweza...
0 Reactions
12 Replies
16K Views
Back
Top Bottom