Nyumba inauzwa
Ipo Arusha moshono
Ni kubwa ina fens
Ina vyumba nane kwa vinne.yani kila chumba na seble.
Na chumba kimoja ni self yan chumba seble na choo ndani
Ina tyres nyumba nzima
Ina umeme na...
Mwenyekioo cha hii simu anicheki haraka, Kiwe used. Offer chini ya 100k. Maeneo ya Dar, Moro na Dom tunaweza kuwasaliana kwa haraka zaidi. Mawasiliano 0715175518.
Habari wanajamvi bila shaka Mungu anaendelea kumpigania kila mmoja wetu kwa namna ya pekee!
Niende kwenye mada moja kwa moja, ni hivi baada ya kuingia mzee baba nilishindwa kuendelea na biashara...
Habari zenu wakuu, Hope ur well
Nina fanya biashara ya car wash sinza....nimekua nikipata changamoto sana ya pressure washer hizi za kichina kufa kufa hovyo hasa rubber zake na vifaa vyake vya...
Picha za ukutani zenye upana wa 30 cm na Urefu wa 40 cm , au unaweza kusema A3. Gharama yake 25,000/=
A4 ni 15,000/=
Ukitaka picha yoyote ya ukutani special for you, pia tunakutengenezea...
Habari zenu, mwenye uzoefu na hizi machine za kufulia nguo, nahitaji kununua machine ya kufulia mwenye kujua, kampuni ipi ni nzuri, zenye uzito gani ni nzuri, na kadhalika sio ya kufanyia biashara...
Habari mwana jf,
Karibu ujipatie magodoro kwa bei zifuatazo;
NITAANZA BEI YA GSM;
3X6 inch 6 ni 90,000.
4x6 inch6 ni 130,000.
4x6 inch 8 ni 170,00.
5x6 inch 6 ni 145,000.
5x6 inch 8 ni...
Nauza Kamera aina ya NIKON D3200 .
Inapiga picha na kushoot video kwa quality ya juu.
Lens 18-55mm
Nakupa na
-Battery
-Card 8GB
-Begi la camera
-Charger
-Wire wa kuhamishia picha au video kutoka...
Habarini za kazi wakuu !
Nimekua nikifanya kazi kwa muda mfupi kwenye mgahawa wa wazazi wangu kwa kusimamia wafanyakazi pindi wao wanapokua busy pindi nikiwa likizo. Mgahawa ni mkubwa na upo...
Tunauza mbao treated na mabati bira Kwa bei nafuu Sana
Pia unapata ushauri kupata matokeo Bora ya purpling na maezeko yenye muonekano bomba
Tunapatikana Dar es salaam. Buguruni.
Wasiliana na...
Ni aina ya printer ambayo inakuwezesha kuprint kwenye plate ya chuma (silver) kwa mtindo wa kupasha mto karatasi lenye picha juu ya hicho kibati hadi picha yote inahamia kwenye kibati, na bei yake...
Nauza smartwatch/Bracelet
Haiingii line na haiingii maji
Mpya full box
Bluetooth
heart rate
blood pressure
monitor fitness tracker
call notification
watz app notification
sms notification
much...
Habari zenu wakuu! Mimi nipo Dar, nahitaji printer aina hiyo nliyotaja hapo juu. Ikiwa mpya itapendeza zaidi. Nitajie bei na mahali unapopatikana.
Natanguliza shukrani[emoji120]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.