Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nahitaji chumba cha kupangisha maeneo ya Magomeni,Morroco,Upanga,Kinondoni,Mikocheni, Kiwe ni master. Mawasiliano :0752156818
0 Reactions
9 Replies
1K Views
JE UNGEPENDA TUKUSAIDIE KUSAFISHA.⁣ Nyumba au Ofisi yako?⁣ ⁣ [emoji736] NYUMBANI ⁣ Kusafisha nyumba nzima, choo,bafu, jiko. Nk⁣ ⁣ [emoji736] OFISINI ⁣ Kusafisha ofisi nzima viti , kudeki, vioo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa,. Naombeni kwa zinapopatikana hair dryer za mkono kwa bei ya jumla. Nataka kwa hapahapa Dar na si mpaka niweke order kutoka China. Kwa mwenye kufahamu.naomba anielekeze.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nataka kununua hii blender!kwa matumizi ya nyumbani!je ni Tsh ngapi?!na inatumika kwa matumizi yapi na yapi!!na ubora wake!!nipo mbezi luis!! AU kwa anaejua blendar nzuri ambazo hazisumbui...
1 Reactions
18 Replies
11K Views
Bei :20000Tsh Mahali : Kimara korogwe, Cont: 0745098591
1 Reactions
4 Replies
638 Views
Natafuta samaki SATO na SANGARA kwa bei ya jumla.Mahitaji yangu ni Sato kg 120 Sangara kg 120 kwa wiki. Napendelea zaidi Samaki wa Msoma. Nipo kigamboni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Zinafaa kwa matumizi ya _Cafe _Grocery _Kitchen _garden. Na Nk. Karibuni Bei ni 45k on each
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau kwema polen kwa majukumu,jamani kama kuna mtu anajua sehemu nzuri ambapo panaweza funguliwa car wash au kama kuna car wash sehem mtu anapauza kuna Ndugu yangu anatafuta sehem hiyo afanye...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wadau, nauza aborder multimedia system AB3822BT kwa shilingi 155000/= Mawasiliano : +255783696253. Nipo beta barabara ya chang'ombe Dar es salaam
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Vitambaa set moja ni sh.70,000 kwa 80,000. Mto na foronya moja ni sh.15000 karibuni sana wateja ninapatikana Tunduma Songwe. Kwa mawasiliano ni kupitia namba 0758267513.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nauza kuku na mayai ya kienyeji. Bei: Mayai trey 12000 kuku jike13000 jogoo 14000 ukichukua kwa wingi bei inapungua. Mahali: Nipo Dodoma, ila popote natuma. Mawasiliano: 0620186781 Karibuni
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Je, wewe ni mmiliki wa shule, Kampuni binafsi au NGO, Je, unahitaji kujipatia huduma mojawapo kati ya hizi au zote kwa pamoja? Websites, Android Apps, Domain Names, ERP system Accounting system...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Fremu hizo moja 25,000/= ukichukua mbili 40,000/= Fremu za A4 ni 15,000/= Unafikishiwa Hadi nyumbani. Lakini pia Kama unahitaji fremu ya picha tofauti na hizo. Unasema tunakutengenezea...
0 Reactions
2 Replies
796 Views
Nahitaji machine ya kukata nyama (meat saw) kwa mwenye nayo wasiliana nami 0746 386 205
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu, heshima kwenu, tafadhali naomba nisaidiwe kujua maeneo ambayo ninawwza kupata vocha za jumla za mitandao ya Tigo na za airtel. Nilipata za voda zinazouzwa 500 nilipata kwa 450 na zile...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Sehemu :Bamba,Mwongozo Kgamboni, kimepakana na nhc ukubwa : 632sqm, umiliki : Kina hati Barbara inafikika mpaka kwenye kiwanja tambarale, kilomita chache mpka bahari ya hindi bei :17M mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Unahitaji mashine ya kukatia nyama au samaki najidakia store tunakuletea zikiwa imara na ngumu TUPIGIE 0779593460 Unapewa warant ya mwaka mmoja gharama ya mashine ni millioni moja na laki tatu tu...
0 Reactions
43 Replies
12K Views
HABARI Najidakia store tunahusika na utengenezaji pamoja na uagizaji wa mashine mbalimbali kutoka china ofisi yetu inapatikana kariakoo mtaa wa msimbazi na store yetu ipo ilala TUNAUZA MASHINE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mzani bomba kwa ajili ya biashara(duka, bucha, jiko n.k) unauzwa..umegongwa muhuri wa mwaka mzima, unapatikana na jiwe la kilo 2,kilo 1,nusu na robo...mpya dukani ni 120,000 mimi nauza Tsh 70000...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom