Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Natafuta single room ambayo ipo standard maeneo ya Moshono~Arusha kisiwe mbali na barabara kuu na kisiwe uswahilini Kiwe na umeme na Maji Budget yangu Mwenye nacho Karibu Pm na picha. Sent...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Wanajamvi,Nina duka linaitwa Agricultural Equipments (AgreQ)Lipo maeneo ya ILALA AMANA,tunashughulika na kusupply drip Irrigation pipes kwa zote ambazo zina ready matunde na zile za kuweka matundu...
2 Reactions
43 Replies
13K Views
Kama Kichwa kinavyo jielezea; nahitaji kiwanja maeneo ya Goba, Budget yangu ni 8,000,000/= Wahusikia karibuni 0786328632
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu habari! Nina idea ya kufanya biashara ya kununua mayai ya kizungu kwa bei ya jumla na kuyauza kwa bei ya reja reja .. Sasa, wapi naweza kupata hayo mayai kwa bei ya jumla kwa hapa DSM, na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari. Kuna jamaa ana-emrgence anauza eneo lake lipo Chanika, unashuka Kituo cha Buyuni kutoka Stand hadi hapo mwendo ni dakik 15. Kina nyumba ipo katika lenta ya vyumba viwili na kimoja ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa haraka wa kujua bei za deli ya barafu nataka nikanunue kabla simu haijazima chaji.
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Wakuu kama kinavyojieleza kichwa cha habari nahitaji fundi mahiri wa kompyuta. Laptop yangu jana ilikuw inafanya kazi vzr tu ila leo asubuhi nilipotaka kuwasha ikakataa nikanunua chaja mpya pia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninanunua gallstones ni mawe yanapatikana kwenye nyongo ya ng’ombe Nicheck Whatsapp , Call na Sms kwa No:- 0693296809
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Heshima yenu wadau. Nina uhitaji wa haraka wa PlayStation 2. Iwe used au mwenye duka ukinionea imani itapendeza pia. Iwe fat. Iwe na pads zaidi ya moja. Iwe na AV Cable na Power Cable. Iwe...
0 Reactions
4 Replies
963 Views
Eneo lenye ukubwa wa 24M kwa 47M linauzwa maeneo ya Bunju B bei ni sh milioni 35 maongezi yapo nicheki kwa hii namba 0788597559 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
750 Views
Jipatie TV mpyaa za kisasa kutoka Italy Full HD 2year warranty Tupo dar es salaam kariakoo mtaa was muheza/magira Piga simu:0754210758
1 Reactions
5 Replies
2K Views
LEO NATAKA KUUNDA WEBSITE 1 Website ni ya Tours&Travels (Travel booking) Features: Mult-Vendor - (maana yake mtu atajisajili Kwa website yako kama kampuni na mtu akifanya booking kwake utapata...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Habarini Wadau, Kwa yeyote aliye na SIMTANK na sio Polytank, kiboko wala Lodhia. Naomba tuwasiliane aniuzie kwa bei tofauti na bei ya tank jipya kutoka dukani. Kama yupo aje PM tufanye biashara...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Rejea kwenye kichwa cha habari. Nimefungua uzi huu kutaka kujua kutoka kwenu bei ya kununua gari ya kupakia abiria, maarufu kama Daladala. Kwa wanaojua, naomba kujua bei ya kununua ikiwa used na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Asalaam Wadau, Ni matumaini yangu mko salama na hongereni na kazi! Katika pitapita zangu nimeona kwa Sasa kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa Mbegu za maboga baada ya kubainika kuwa zinamsaada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Gari iko vizuri, Ni kukagua, kulipia na kuwasha gari kuondoka. Bei 7000000 maongezi yapo, gari iko Mwanza Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kichwa cha habar kinajieleza nahitaji CPU(used) ya bei chee hata ikiwa na specification ndogo sio mbaya kama unayo unauza nicheki 0625978435
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nauza nyumba IPO IPO kivule m emben balabala ya kwa mkoremba ipo balabalan inafa kwa biashara Kama zahanati lodge n.k kwa maelezo Zaid 0772 151398 BEI milion55 maongezi yapo Sent using Jamii...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu naomba mwenye ufahamu kama naweza kupata mtambo bei ya kawaida wa kukamua mafuta ya nazi. na kama una ABC za Soko la mafuta ya nazi, 100% pure unaweza kutoa maoni tuongeze ufahamu katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom