Eneo linauzwa lipo kisemvule-kibamba lenye ukubwa wa square meter 1200.
Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet.
Eneo...
Jumamosi iliyopita nilihudhuria mahafali ya Darasa la Saba pale KOM Shule ya Msingi Manispaa ya Shinyanga. Binafsi sikuamini macho yangu kutokana na ubora wa hiyo shule kuanzia taaluma, majengo...
Njoo agiza chochote unachokitaka kutaka Japan au South Africa Tuna agaiza bidhaa mbalimbali kwamuda mrefu kwauaminifu sana.Kupita kwenye platforms zetu mtu yoyote aliko Japan au South Africa...
Nina flat tv mbili LG inchi 50 zote zina tatizo kwenye HDMI port. Natafuta fundi mtaalam ili aweze kunirekebishia tatizo hili. Wasiliana nami kwa simu namba 0675682895.
Asante.
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Naomba niulizie kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu hasa kipaumbele changu ni maeneo ya Buguruni Malapa na Ilala japo nakaribisha wa maeneo mengine...
Learn basics of C programming:20,000/-
C++:20,000/-
Html:20,000/-
Css:20,000/-
javascript:20,000/-
Kurekebisha na kutetuwa matatizo ya AVN:7,500/-
Piga 0759-124378
Eneo linauzwa lipo kisemvule lenye ukubwa wa square meter 1200,
Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet
Eneo lipo...
Toka kwenye wazo mpaka utimilifu wa wazo kua bidhaa. Tunatoa huduma mbali mbali za uchapishaji zenye kukidhi mahitaji yako binafsi, biashara, taasisi za kidini n.k
Kama kituo kinachojihusisha na...
New Arrival, Seiko 5 Original ya Japan.
Saa ni mpya, original 100% ikiwa na box lake Original.
Saa ni Automatic haitumii betri, inatembea muda wote wakati wote
Saa haiingii maji hata uzame nayo...
Habari za mda huu natafuta Kiwanja Dar maeneo mazuri yaliyotulia kwa ambae anacho naomba tuwasiliane bajeti yangu 10M hili jambo lipo serious na tunaweza kufanya biashara
Hata leo hii...
Rasmi sasa kuna jamaa kanidodosa kua biashara ya boda inalipa kwahiyo nimeona nicheki upepo wa pikipiki boda.
Mwenye connection ya boda nzuri kwa hiyo bei gani USINIAAMBIE NIJE PM SIJI Asanteni.
Nachukua fursa hii kukukaribisha wewe utakayekuwa na uhitaji wa Huduma hii aidha wewe mwenyewe au mwanao/wanao. Tunaweza kufanya makubaliano ya kujifunza online (kwa njia ya mtandao) au kwa njia...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Jana pasipo bahati maeneo ya posta clock tower mtaa wa indira gandi nimeigonga crown Athlete upande wa kulia taa ya nyuma. nilikua nina canter na gari imepaki...