Wakuu mi nataka tubadilishane. nina kitanda kipya futi 4 kwa 6 na godoro lake nchi 6.Pia nina Pasi ya umeme na kiti cha plastic.Vipo Kigamboni, usafiri ninao. Vyote hivi nabadilishana na TV ya...
Kwema Wakuu
Nahitaji gari tajwa kwa ajili yakunibebea mahindi shambani. Kama unamjua mtu aliyenayo/anyefanya biashara ya kusafirisha mizigo hapa Arusha, tafadhali usisite...
Heshima kwenu,
Nahitaji kupata gari iwe Lori itapendeza zaidi.
Nina kamzigo kadogo nataka kusafirisha kutoka Tanga mjini kwenda Morogoro mjini au Ifakara.
Mwenye roli/fuso linalokuja Tanga...
Lipo kwenye hali nzuri, linatumia diesel na ni Kva 38. Lipo maeneo ya ununio bei ni 14m maongezi pia yapo kwa yeyote anaehitaji anicheki pm.
Sent using Jamii Forums mobile app
NAUZA KIWANJA CHANGU MBEZI MAKABE CHENYE UKUBWA WA 21 X 20, KIPO MBEZI-MSUMI, DAR-ES-SALAAM.
NISEHEMU NZURI YA KUJENGA NA KUHAMIA, UMEME UPO NA NI KARIBU NA BARABARA KUU
MANAFIKIKA KWA GARI BILA...
Gari aina ya nissan terano la kibalozi linauzwa bei sawa na bure ni dola 1700 tu gari ipo kwenye hali nzur sana halina michubuko wala kurudiwa rangi
Shughuli zake ni kupeleka wanafunzi shule...
Spika hizi sio kwamba ni spika tupu hapana hizi ni spika zenye REDIO inayo tumia Bluetooth, flash BEI ZAKE NAMBA 5 - ELFU 35,000 NAMBA 6- ELFU 70,000 NAMBA 8-ELFU 90,000 NAMBA 10- LAKI 125,000 NJO...
Wakuu, nimeona nipost hapa hitaji langu litazamwe kusaidiwa.
Ninahitaji Antenna ya ndani ambayo naweza kufunga kwenye TV yangu na kutazama Local channels bila kutumia decoder yoyote.
Nimepitia...
Ukubwa 720 m²
Bei - 6,000,000
Vibali : mkataba wa mauziano kutoka serikali ya mtaa.
Kipo karibu na zinapogeuzia daladala za stand kuu - Igawilo
Hakina mgogoro wowote, kipo eneo zuri la...
nahitaji chumba cha kupanga kiwe chumba na sebule eneo kuanzia banana hadi gango la mboto
iwe na mita inayo jitegemea
nyumba isiwe na wapangaji wengi.
nisaidieni ndugu zangu
JOB OPPORTUNITY - Business Operations Manager
Isamilo International School, Mwanza seeks an experienced Business Operations Manager who will be responsible for managing all administrative aspects...
Habr ya uzima ndugu zng!
kama kichwa kinavyo jieleza. Nipo Mwanza nahitaji laptop used either DELL,TOSHIBA ASAS,INOVO etc ila isiwe HP.
Isiyo zidi Ts150,000 kwa matumizi ya kawaida tu.
kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.