Miundombinu Inayopatikana Wilaya Ya Tanga Jiji.
✓ Bandari inayounganisha nchi ya Uganda na Tanzania. Bandari zipo mbili. Bandari husaidia kwenye usafiri wa Mkonge, kahawa, Pamba na chai.
✓ Reli...
Habari wana JF
Ninauza viwanja vilivyoko maeneo tofauti tofauti hapa Mwanza.Viwanja hivi ni yale yaliyokuwa mashamba,lakini baada ya mji kuendelea kukua sasa yalikatwa na yanaendelea kukatwa kwa...
Wakuu namshukuru Mungu nimekuwa nikifanya utafiti wa magonjwa ya kuku
ambayo yanadaiwa kutotibika. Mimi sio daktari wa mifugo na wala sina taaluma
hiyo, utafiti wangu umekuwa wa kienyeji mno baada...
Habari zenu Wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyojua kilimo chetu hapa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza...
* Saa ni AUTOMATIC haitumii betri unavaa tu miaka na miaka.
* Saa ni waterproof haiingizi maji hata uzame nayo chini ya bahari inafanya kazi kama kawaida.
* Saa ni roho ya paka inakaa miaka na...
There will be a system upgrade today (3hrs to come) which will take about 30-50minutes.
We hope you'll accept this inconvenience for the better JF.
Invisible
For JF Administration
Viwanja vinauzwa Mbutu Kigamboni vimebaki viwanja 7 tu kwenye mradi.
Ni mbutu mbele ya dege eco village uelekeo wa baharini(mita 400) kutoka baharini).
Viko barabarani barabara iendayo...
I COMMEND THE PREZ FOR THINKING ABOUT SPORTS LIKE THIS! HOPEFULLY SOON ATALETA PIA NA WAKAMATA MAFISADI AFTER WATCHING HOW THEY PERFORM LIKE HE WILL WATCH THE BASKETBAL GAME (WNBA).
I quote...
Ndugu Watanzania,
Ninawasalimu wote.
Ninaombeni mwenye Namba za/ya simu ya mezani ya Benki ya posta makao makuu (Ex-Telecoms Dar) au Email anitumie kwenye PM yangu au aniwekee hapa.
Pia kama...
Napenda kuwaambia wanaJF na wengineo wote kuwa kuna vifaa muhimu/mahsusi vya kuongea na simu kwenye Gari(mirror handsfree) vinawasili hivi karibuni kutoka Ujerumani.
Kwa vifaa hivi utaweza...
Wow, this will be interesting, Maasai worriors from Tanzania participating in London Marathon (13 April 2008) charity run to raise money for a water project in their home village.
See...
CLASS RE-UNION MOSHI TECHNICAL (1987)
Wengi wameomba kila mtu aliyekuwepo Moshi Tech mwaka 1987 ahusishwe, hata kama alikuwa kidato cha kwanza mwaka huo. Wengi wanaelekea kukubaliana na...