Wadau hamjamboni nyote?
Kwa furaha kubwa nawajulisha kuanza Kwa makambi hapa Kanisa la Waadvetista Wasabato salasala
Nyote mnakaribishwa sana
Vipindi vizuri vyenye kutoa elimu zote za kiroho na...
Habari,
kwa jina naitwa Anderson Mgaya ni kijana mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika Web Development na Application Development. Ikiwa unahitaji tovuti ya kisasa au programu itakayowezesha...
BEI YA KUTUPA
KIWANJA 2376Sqm KIZURI NA KIKUBWA KINAUZWA
_______
MAHALI-NZUGUNI A
_______
UMBALI-8Km toka town
_______
UKUBWA-2376Sqm
_______
DOCUMENT-HATI
_______
BEI-22M (FIXED)
MALIPO YA...
Mashine ni mpya kabisa,haijatumika.
Inafaa kupiga dawa kwenye magugu na kukupiga kwenye miti (mikorosho,miembe n.k) na mazao mbalimbali kuzuia kuvu na wadudu.Na pia kupiga dawa maghalani...
UPDATES MAY 1,2018:
Training hii ni ya bure lakini lazima uwe umejisajiri kwa maana ya SIGN UP kama member wa FXTM ambapo kujisajiri siyo lazima uwatumie.(Wtz tuelewe msingi mkubwa wa forex ni...
Kama mdau wa filamu na series toka mataifa ya nje kama vile USA,CHINA,INDIA nk hofu ondoa.
Kama kuna yoyote unayoitafuta karibu sasa utaipa kwa bei ya kuchangia tu kidogo, wewe tu nitajie list ya...
Habari zenu wadau?
Nilikuwa kwenye process za ujenzi ila kwa bahati mbaya huu mwaka sijauanza vizuri na kiukweli sioni dalili za kuendelea na ujenzi hivi karibuni naona nikiendelea kukaa na hizi...
NIWAACHIE KWA SHINGAPI SASA HII NINANJAA?
NAOMBA 300K
Naomba kwa hii unipe 180k
IPHONE 7 PLUS naomba 220k
ππ½ππ½ππ½ππ½ HIYO IMETOKA DUBAI JANA PIA KAMA ZAWADI YANGU ILA NAKUACHIA KAMA OFFA KWA...
Habari , kuelekea msimu wa kilimo pata mashamba heka kwa bei ya laki tatu maeneo ya wilaya ya chamwino vijijini , Pia nina viwanja dodoma mjini maeneo ya veyula vimepimwa tayari bei kuanzia...
Eneo lipo Mkuranga mjini-Jirani na kituo cha Mafuta cha Panoni, kama mita 600 kutoka barabara ya lami.
Panafaa kwa kuweka makazi. Panafika kwa gari, umeme na maji ya Dawasco vipo mita chache...
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
TSHIRT MPYA KUTOKA CHINA ZINAUZWA KWA BEI YA JUMLA
ZIPO SIZE MBALIMBALI
KUANZIA PIECE 100 Tsh 3,400
UKIWA NA Tsh 340,000 UNAPATA BANDO LA TSHIRTS. UKIHITAJI PIECE ZAIDI YA 1000...
Wakuu, hoping mko salama.
Nahitaji simu second hand, isiwe ya wizi, ikiwa na receipt au used toka nje itakua vema zaidi.
Iwe miongoni mwa brands tajwa hapo juu.
Specs
1. Resolution iwe na...
wazee wa kuchomelea vyuma vizito, vigumu
mashine hio hapo inafanya kazi vizuri sana.
niko mwanza igoma
bei elekezi ni Milioni moja Tsh.
Tuwasiliane Whatsapp +255772225555
Wakuu nani anaweza kunisababishia nikajua bei ya betri hizi. Na nazitolea wapi kabla sijaingia mzigoni mwenyewe huko kariakoo.
Nb: niko mbagala muda huu
Kiwanja ni tambarare
Ukubwa wa kiwanja ni square meter 1045
Mawasiliano for serious buyer 0692450861
Umbali toka Feri ni km 19
Price - 12,000,000/= Negotiable.
Kazi ya haraka kesho tarehe 24.
Printer inajam kila baada ya kuprint page chache. Aina ni Hp Canon 404.
Location. Dar es salaam ubongo.
Please DM me with your quotation
Nauza Printer π¨ ya Epson L850
Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia
Tsh 900,000
All in one printer
Print,copy,scan
Six color eco-tank
Colored printer
Quality π―
Napatikana Dar, Mbweni...
Habari za leo wakuu,
Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii.
Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.