Shalom,
Hope mko poa asee.. makomando na wauza bucha kuna wembe hapa mkali sana kwa ajili ya kazi maalum
Ak47 CcCp mpyaaaa 💥🔥🔥
Shiling 20000 tu, free delivery
Niko mbagala hapa. Kokote nakuletea
Habari
Mota ya kuzungusha machine ya kusaga mahindi inauzwa. Mota hii ipo kibaha mkpa wa pwani. Ina Hz 50. Bei sh 1..8m. Anayehitaji karibu. 0758308193
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye kipaji cha uchoraji picha halisi ya kitu au mtu yeyote aina ya MONOKROMU ukubwa kuanzia A0,A1,A2,A3,A4 na A5.
Ni ombi langu kupokea kazi kubwa na ndogo za...
Habari wakuu,natafuta chimbo la spare za umeme wa magari kama vile taa,control box ,relays na vingine vinavyohusika na umeme wa magari liwe na bei nafuu ya jumla kwaajili ya kupeleka mikoani hasa...
Habari mabibi na mabwana?
Naomba mwenye kujua yanapopatikana mashamba ya bei nafuu, mashamba yanayofaa kwa shughuli za kilimo na ufugaji anifahamishe.
Ningependa kufahamu bei kwa ekari na...
Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani.
Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi...
shamba Liko mvuha morogoro ni eka 49 kila eka laki 5 na nusu ila maongezi yapo
wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar nasaka 4, kushoto matombo mkuyuni...
Habari zenu
Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota...
Habari wanaJf karibu ujipatie Simu za Samsung j7 prime kutoka china Kwa bei poa kabisa.
-Bei ya jumla 130,000
-Bei ya lejaleja140,000
Napatikana Mwanza Pasiansi
Mawasiliano namba 0672883431...
Kuna jirani yangu anamiliki Toyota Hilux pick up single cabin 1998+ nazan, nmetokea kuipenda sana nna 10m isiyo na maelezo, kama Kuna mdau anayo tuwasiliane.