Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Hayahaya wale wapenzi wa golf.Second hand Wilsons golf kit in mint condition for sale.Price 250,000/=.contact 0738357889 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Nauza Steamer bei Chee Nicheki Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Natafuta kiwanja kuanzia 20 kwa 20,Kiluvya Kibaha na Dodoma Mjini.
1 Reactions
14 Replies
3K Views
CHUMBA KIMESHALIPIWA, Asanteni kwa ushirikiano wenu, hata wale ambao hawakua na nia ya kuchukua chumba ila walichangia na kufanya uzi kuendelea kua juu! Ukiwa na hitaji la nyumba au chumba...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Habari jf, Tawa Water Proffesional ni kampuni inayojishughulisha na uchimbaji wa visima pamoja na ufanyajibwa underground water survey. Tunatoa huduma za aina mbili za survey kuna ile ya kugundua...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa wale wanaotafuta ushauri,Elimu Na Msaada Wa Jambo Lolote Kuhusiana Na Mashine na Zana Za Kilimo Kama vile Matrekta,Planters,Sprayers,Ridgers,Cultivators,Ploughs,Na Nyinginezo,Tuone...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
*Nauza kuku Chotara Majogoo na Matetea.....Kuku wana Wiki 5 na matetea ndo wameanza kutaga wapo katika hali nzuri!! *Wanapatikana Kibaha Mailimoja Bei ni Tsh.20,000!!!!!Maelewano yapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VIWANJA VILIVYOPIMWA KWA MAKAZI na BIASHARA VINAUZWA《BAGAMOYO,TEGETA na KIGAMBONI》 ☆Tegeta Wazo Hill plots available Tsh 25,000 per Sqm......6 km from main road ☆Vikawe plots available Tsh...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naitaji kiwanja ukubwa 20*20 na kuendelea cha million 5 Moshi(bonite, chekeleni, boma na maeneo mengine) mwenye anajua kinapopatikana anipigie simu 0744757738 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kiwanja Kipo Kilomita 3 Kutoka Goba Senta. Ukubwa wa Kiwanja 400Sqm Umiliki; Hati ya Ununuzi ya Serikali ya Mtaa Bei Tshs 6.5 Milioni Umeme Upo, barabara hadi Kwenye Kiwanja. Sent using Jamii...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiwanja kimepimwa, kinauzwa tshs 2.8m kipo bujora ya Sengerema, ukubwa 17x40, kipo jirani na viwanja vya national housing. Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0717250805
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta kiwanja sengerema mjini chenye angalau ujazo wa kati p (medium density) mwenye kufaham anaekiuza plz tuwasiliane kupitia +255 765 187 795 au kupitia munyetib@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jipatie subwoofer aina ya Mr. UK ipo vizur sana inatumia Bluetooth, flash,memorycard, volume 62 , rimont inatumia pia yaani ipo vizur #warrant mwaka 1 ushindwe wewe tu #BEI LAKI 150,000 MIKOANI...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hellow kwa wale wapenzi wa fani hizo za urembo ambazo ni make up aina zote,kuremba kucha pamoja na kuchora Henna basi sisi tunafundisha fani hizo kwa gharama nafuu kabisa sawa na bure. ADA NI...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Anahitajika mtu anayejua Ku print t-shirts zenye ubora wa Hali ya juu na zenye kuvutia Zitahitajika kuvaliwa kwenye pre wedding kwenye photoshoot .. Karibu PM kama ni mbobezi na uko interested...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Nahitaji msaada wa kujua taasisi ambazo unaweza kuweka hisa au kuwa mwanachama, mana nasikia unaweza kuweka hata shilling elfu 5 kwa mwezi.Naomba msaada kuhusu hilo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Rejea kichwa cha thread, ninatafuta mpangaji wa nyumba kwenye eneo tajwa. In nyumba mpya yenye sifa zufuatazo: 1. Ni apartment 2, kila moja ina, 2 bedrooms, kimoja ni master, jiko kubwa, sitting...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Habari wana Jf, Tawa Water Proffesional tunafanya Underground water survey ya kawaida pamoja na underground water survey yenye uwezo wa kujuwa ubora wa maji kama ni ya chumvi au ni baridi kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Back
Top Bottom