Eneo lipo Chanika chambala
Lipo katika sehemu iliyojengwa.
Eneo linaukubwa wa heka mbili na robo. Linafaa kwa kuweka shule, ufugaji samaki, kuishi, kufyatua tofali nk.
Kuna nyumba ya kuishi...
Mpango wa biashara ni andiko linalofafanua namna ya biashara mpya itakavyo anzishwa aunamna itakavyopanuliwa,kuboreshwa ama kuundwa upya.
Mpango huanza kwa uchambuzi wa soko na mazingira ili...
Location: Mwananchi Dsm
Vyumba vitatu kimoja master na sebule
#Fulltiles# gypsum#fullslidewindow# dak 4 toka main road (mandela road)
Price: 200,000
Contact:0769272733
Sent using Jamii Forums...
Kwa Dar es salaam wilaya ya Temeke gari la maji taka linapatikana wapi? Na gharama zake zikoje
Tafadhali naomba msaada wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shamba la miti heka 4 aina ya pine linauzwa . mkoani Iringa wilaya ya mufindi.
Miti ina umri Wa miaka 6, kwa shamba lote linauzwa kwa bei ya tshs 5,500,000... Kwa heka moja ni tsh 1, 500,000...
VIWANJA VYA MAKAZI MAPINGA KIMERE
Viwanja vya makazi vinauzwa Mapinga KIMERE
Viwanja vipo Mtaa wa Kimere ni Km 5 kutoka Bunju( Km 3 tu kutoka Mainroad Bagamoyo)
Vipo viwanja vinane(8)
Vipo...
Mzigo sokoni
TOYOTA HARRIER
5S ENGINE 4 CYILENDER
FULL AC
NUMBER T884 BCL
BEII MILION 11......MAONGEZI
HAINA TATIZO
Lipo Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nisisikie mtu analalamika nina sijui laki NNE, sijui laki tatu nifanye biashara gani hii nakupa tu. Ukifeli wewe utakuja tumia zaidi ya Millioni
Offer Offer Offer Offer
*Hii ofa ya mwisho...
HII LAPTOP IMERUDI SOKONI... (29-01-2019)
Nilipata kazi kidogo ikabiadi nisitishe kuiuza.
Ipo katika hali nzuri kabisa...
Betri inakaa masaa matano
Unahitaji Operating system mpya au activation...
Hellow
kwa wale wapenzi wa fani hizo za urembo ambazo ni make up aina zote,kuremba kucha pamoja na kuchora Henna basi sisi tunafundisha fani hizo kwa gharama nafuu kabisa sawa na bure.
ADA NI...
Habari ndugu na jamaa!!
Naitwa Enock, napatikana Mbezi, Dar es Salaam, Tanzania, mimi ni fundi wa kutengeneza sofa za kisasa na zenye ubora.
Naweza kukufikia mahali ulipo na kazi ikafanyika pasi...
Nauza Gari aina ya Toyota Carina Ti;
Details zingine za gari hiyo ni
Name: Toyota Carina Ti
Engine: 5A- FE
Engine size: cc 1490
Transmission; Automatic
Fuel: Petrol
Color: Silver
Mileage...
Habari wana jf.Natumai ni wazima wa afya,sisi ni vijana wajasiliamali tunaojihusisha na masuala yahusuyo uchimbaji wa visima vya maji.
Ili uwe na kisima chako cha maji ni lazima kuna baadhi ya...
Laboratory Technician anahitajika
Awe ngazi ya cheti kutoka chuo kilivyosajiliwa na kinatambulika
Awe na uzoefu usiopungua miezi 6
Awe na uwezo wa kumshauri mgonjwa (convincing power )
Afahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.