Wakuuu,nimejaribu kupitia nyuzi mbalimbali zinazohusu power tiler lakini nyingi ni 2012 kurudi nyuma. Pia watu wengi wameshamaliza mizigo hiyo. Sio kwamba hazipo mtaani,zipo ila bei si rafiki...
Screen for Laptop
Battery for Laptop
Keyboard for Laptop
Macbook chargers
Laptop adaptors
Softwares
Wireless keyboard & Mouse
Wifi usb adaptors
Hdmi to vga convertors
Vga to Hdmi convertors
Usb to...
Shikamooni wakubwa zangu,Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu "soko la dagaa la tabora likoje"?... kwanza kabisa Mimi ni mkazi kutoka mwanza na pia nilisikia kutoka kwa marafiki wa...
kwa wale wote wenye matatizo ya simu APA ndo suluisho, pia tuna to a huduma za website design na utengenezaji wa android apps kwa bei nafuu kabsa ,karibuni sana +255659410001
Habari wana JF, wale wakulima na wadau wa sekta ya kilimo, nawakaribisha sana katika huduma ya kuprinti mifuko ya kuwekea mazao na vyakula vya kuku na wanyama, bei zetu ni nzuri na ubora wa rangi...
ASUS zenfone 3 Dual Sim slim
Ram 4gb | Storage 64gb
Display 5.5" | Network 4g
Camera 16Mp with LED flash
Selfie 8Mp | Fingerprint sensor
Grove mode | Full body glass
Os Oreo 8
Mpya kasoro box...
Wapendwa habari ya asubuhi.
Naomba kufahamu kwa mwenye kufahamu gharama za unyonyaji wa maji taka katika choo kilichojaa. Au kwa anayewafahamu wanaofanya shughuli ya aina hii.
Natanguliza...
Wanajamvi habari zenu?
Naomba kuleta kwenu taarifa hii ya kupotelewa na leseni yangu ya udereva namba 4000549027.
Ninaomba mdau yeyote kama ataiona mahali anipigie namba 0679663661 ili anisaidie...
Habari Wana JF
Point of Sales hii ni Software ambayo inafanya record za mauzo yako ya kila siku,ina fanya record ya bidhaa zilizo stock, inatunza kumbukumbu za bidhaa zinazotoka na kuingia...
Camera hii nimeamua kuuza bei nafuu sana ukilinganisha na bei kliyopo sokoni hivi sasa.
Yani mtu akipita tu eneo ambalo umeweka hii camera, pale pale camera inamkamata na muda huo huo inakutumia...
Wadau mi ni mgeni hapa Tanga, nimehamia kikazi, ivyo natafuta chumba na sebule, ikiwa self ni nzuri zaidi, 0768859089 natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninatafuta chumba kiwe na choo ndani na kiwe kikubwa au chumba ,sebule na choo ndani pia luku iwe ya kujitegemea . Eneo! Kuanzia ubungo mawasiliano hadi mwenge . Phone 0657366601
Sent using Jamii...
Ninatafuta chumba kiwe na choo ndani na kiwe kikubwa au chumba ,sebule na choo ndani pia luku iwe ya kujitegemea . Eneo! Kuanzia ubungo mawasiliano hadi mwenge . Phone 0657366601
Sent using Jamii...
Buguruni, Banana, ubungo , Tabata au eneo lolote lilochangamka
NB: sitaki fremu za uchochoroni nataka sehemu iliyochangamka kama unayo PM eneo na bei yake. Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa cha habari kinahusika, nimehamia Dar rasmi mwaka huu.
Kuna sehem nimefikia kwa muda ila mwishoni mwa mwezi huu (January) nitahamia tabata barakuda, nina mpango wakurudia mtihani wa kidato...
Shukurani za dhati zimwendee mwenyezi mungu kwa kunijalia Afya njema, Ndugu, jamaa na marafiki mbalimbali.
Ndugu yenu ziloi leo kafanikiwa pia kufungua ofisi mpya ya nguo za kiume dodoma tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.