Hp folio core i5 ina ram 4GB na hard disk 500GB.
Tunapatikana kariakoo aggrey karibu na jengo la vioo la infinix.
Kwa mawasiliano: 0653440729
Bei ni shillingi laki sita na nusu tu.
Karibuni...
Habari wapendwa !
Kuna Vitu used nauza vimetumika kwa mda Wa miezi mitano
•dressing table
•kitanda cha chuma cha 5 kwa 6
•na TV show case
Mwenye huitaji anicheki pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasumbuliwa na simu yako tablete ...
Fundi niko kariakoo mtaa walindi na Msimbazi gerezani,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna...
Trekta lipo sokoni, lipo katika hali nzuri, limetumika miezi 2 tu nchini, ni hp 68.
Bei ni milion 29 tu! Mazungumzo yapo.
Nifuate PM kwa ajili ya mawasiliano zaidi.
Sent using Jamii Forums...
Habari za leo!
Salama wakuu humu ndani?
Nauza kampuni yenye ukomo iliyosajiliwa mwaka jana na inafanya kazi vema kabisa. Inauzwa kwa sababu ya asili ya kazi inazofanya hauwezi kusajili NBAA kama...
TANGAZO NI LA MDA ILA HIKI NI KINGINE KWENYE HII HII NYUMBA SO KINA CHUMBA KINGINE KIMEKUA WAZI, chumba kingine kiko wazi
Chumba ni kizuri sana, kikubwa na kipo mazingira mazuri, kipo kimara...
Wadau mi ni mgeni hapa Tanga, nimehamia kikazi, ivyo natafuta chumba na sebule, ikiwa self ni nzuri zaidi, 0768859089 natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mac book pro 2011, 13inch, 8gb ram, 256 ssd, 2.3 ghz core i5, price 1.1m, imetumika kwa mwaka mmoja, napatikana kigmbn na kurasini njia ya bandari siku za kazi, karibuni sana.
Mifugo Tz Pet's Clinic inatoa huduma za matibabu, chanjo, operations mbali mbali, kuhasi na huduma nyingine nyingi kwa wanyama kama mbwa, paka, kasuku, njiwa, etc
Madaktari wetu wana experience...
Habarini waheshimiwa? Nina uhitaji wa kiti cha chuma cha cheke cheke au kwa jina lingine ni CUSTOMER WAITING CHAIR.. Kwa ambaye anacho cha used au kipya tuwasiliane kwa number 0753121404...
Natafuta mwekezaji wa kuingia nae mkataba wa kujenga apartment/office complex Dar Es Salaam.
Nina viwanja locations nzuri. Pia kuna plot available for sale.
For more information please call...
Nyumba inauzwa MBEZI BEACH GOIG
Ukubwa wa kiwanja ni sqrm 1230.
Kimepimwa na kina hati.
Bei 240(maongezi yapo)
Serious buyer tuwasiliane.
Contact:0787462167
:0718441000
Sent using Jamii Forums...
Habari zenu wakuu, tunaelekea pasaka
Mimi ni mfugaji mdogo wa kuku. Baada ya kufanya mauzo Christmass na New Year nimeona faida kubwa katika ufugaji. Kwa yoyote mwenye uhitaji wa kuku chotara 60...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.