Je, una nia na uwezo wa kuagiza gari kutoka Nje? Je, una hofu kuagiza gari nje?, Je, huamini katika kuagiza gari nje? Je, huna mda wa kuagiza gari kutoka nje?, Je, hujui taratibu salama za kuagiza...
Hbr ndugu, nina mpango wa kuanza Kilimo cha bustani ambacho nina Malengo ya kukifanya kwa mwaka mmoja na nusu.
Hivyo nahitaji mwenye uzoefu na waterpumps ili zoezi liwe rahisi , nipate...
Kwa kuzingatia mahitaji, matakwa ya wateja na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia, kampuni ya simu za mkononi Itel, ambayo hivi karibuni ilishika nafasi ya kwanza kwa kuuza bidhaa zake nyingi...
Natafuta Chumba Dar es Salaam single Cha kupanga
Chumba kiwe na umeme na nje pawepo na maji
Kiwe kidogo Cha wastani
Kodi nitalipa miezi minne baada ya mwezi mmoja na nusu nitamalizia
wanawakelivetz
#WADADACENTER
.
2019 Tunatarajia kuboresha program hii ya wafanyakazi wa Nyumbani kuwapa Mafunzo ya Mwezi angau mmoja... Kwa sasa wanapata Mafunzo kwa wiki moja tuu kwa Sababu ya...
Habari,
Anayeuza gari aina ya subaru forester model SG5 tuwasiliane DM.
Iwe ya kuanzia mwaka 2004 - 2009.
Muuzaji serious naomba aje DM please.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wanaukumbi
Nipo na Mashine za mbao.kwa sasa nipo na planer 24 Inches.na table saw 10 inches
Mashine zipo katika Hali nzuri.planer ni almost mpya.bei Yangu ni nzuri.tuwasiliane kwa...
Habari zenu watanzania wenzangu, nimewaletea taarifa njema kwa wale wajasiliamari kama mimi, kuna kampuni mpya ya kutokea china inaitwa yenye ofisi zake hapa Tanzania katika jiji la DSM, Ni...
FOR SALE
HTC DESIRE 825 Slim phone
Network 4g | Ram 2gb
Display 5.5'' | storage 16gb
Camera 13Mp Led Flash | Selfie 5mp
Android Os 6.0 | Battery 2700mAh
Condition used | no any scratches
Bei...
Kiwanja kinauzwa, kimepimwa na kiko tayari kwa ujenzi. Huduma muhimu zipo,kipo mita 250 kutoka barabarani upande wa pili na ule wa mradi wa mji mpya.Kipo Dege Kigamboni.
ukubwa wake ni 20*20...
Kama kichwa cha habari kinavyosema,tunauza windows kwa bei ya sh 170,000 kwa kila moja.
Bei yake ya dukani ni zaidi ya sh laki tatu.Zipo pcs chache kwa hiyo kama una project au una mteja...
Waungwana habari za jioni.
Natafuta tv flat kampuni iwe lg,sumsung,sony,panasonic,philips,tcl,startimes,nk ila isiwe kabila la hizi za kichina .
Size iwe kuanzia 32+.iwe ni smart au led tv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.