Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mwenye modem ya universal 4g aje tufanye biashara tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
552 Views
ipo Arusha PM me.
0 Reactions
3 Replies
579 Views
Habari zenu? Husika na kichwa cha habari Nipo dar es salaam Nauza novels za watoto wa rika zote Bei ya novel moja ni Tsh 3,000/= Ukichukua package ya novels tano bei ni Tsh 10,000/= Karibuni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza natunguliza shukrani za dhati kwa jukwaa hili pamoja na wadau wake wote kwa ujumla kwani limenisaidia sana, biashara zangu zote nazofanya nilianza kuja kwanza hapa kwenye hili jukwaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji mhuri wa kugonga kwenye karatasi, nipo Dar maeneo ya Bunju, nahitaji kutengenezewa asubuhi ya Tar 3.1.2019 kama wewe ni fundi nicheck 0719626377 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salam. Ndugu wana jf, Mimi no mjasiliamali Niko katika wilaya ya Kyela ninahitaji kununua line ya M-PESA kwa yeyote anaye uza.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
HTC DESIRE 825 Slim phone Network 4g | Ram 2gb Display 5.5'' | storage 16gb Camera 13Mp Led Flash | Selfie 5mp Android Os 6.0 | Battery 2700mAh Condition used | no any scratches Bei 230000/=...
0 Reactions
0 Replies
417 Views
Habari member wa JF, Nauliza hizi sofa za chuma zinatengenezwa wapi kwa hapa DSM, naona kama ni ngumu zaidi kudumu kulinganisha na zile za mbao, Msaada please. Nimeweka na picha ya mfano
0 Reactions
13 Replies
12K Views
Nauza simu yangu niitumiayo kutokana na shida ya kipesa inayonikabili. Ni Samsung a8 ya 2017. Storage GB 32 Camera MP 16 Battery mAh 3050. Simu ina mstary wa kucrake kidogo sana kwa juu bt...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kufahamu upatikanaji na gharama za mashamba ya kununua katika mkoa wa Morogoro hasa kwa maeneo ya ifakara,mahenge,malinyi,itete,mang'ula na maeneo mengine kuacha wilaya hizo.naomba msaada...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu habarini za jioni? Naomba msaada kwa anayefahamu haya maeneo huko kigamboni kwenye viwanja. Nawezaje kufika huko?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hii laptop nimeachiwa na boss akati anarudi kwao china ni PC nzuri sana Naiuza 750k haipungui naamini kama unajuana na watu wengi hasa wenye uwezo unaweza kwenda kuiuza hata 1.5m+ pia kama kuna...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wakuu msaada, nmekwama inabidi niuze huu mzigo, tusaidiane, simu ni nzima kabisa kama inavoonekana kwenye picha. Ni 128 gb 700,000 Tzs 0713408996
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji mashine ya kupimia gar yenye uwez ya kupima mifumo mingi kama (abs).air bag)sio engine tu pekee...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
year 2004 cc 2500 price 5.5 mil call 0712607003 serious buyer only car in mint condition. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza naweza pata wapi mbegu za strawberry au miche yake. Mimi nipo morogoro Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nissan Serena 2000 Body-Saloon (Closed Top) Colour-Black Class-Less than 12 persons Year-2000 Fuel-Petrol Engine Capacity-1990 Inamatatizo kwenye gear box Price-5.5 Milion I am the owner Njoo PM...
0 Reactions
1 Replies
728 Views
Habari wadau, ninauza Sungura, ninapatika Dar Maeneo ya Kitunda jumla ni watano, being 20,000/kwa kila mmoja. Karibuni.
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Nina mizigo yangu Dar (vitu vya ndani) nahitaji kuhama navyokwenda Mwanza, ni vingi kidogo na sitaki kuuza, ambaye anajua namba za simu ama wapi nitapata Lori la kunibebea msaaada pls!
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu,ubachela ni mzigo,huwez amini sijala maharage mwez wa pili huu unakatika,namii ni mpenz wa hii kitu vbaya mnoo..na kingne ni pilau.. Nataka mtu ananipikia hvi vyakula hata vya wiki nzima...
13 Reactions
58 Replies
6K Views
Back
Top Bottom