Nauza nyumba ambayo haijamaliziwa imeishia kwenye linter ni nyumba ya vyumba vitatu na master bed room Moja jumla vyumba vinne,sebule,dinning, store na public toilet shimo la choo limechimbwa...
Nyumba inauzwa ipo mjini chanika - milioni 30
Jiji la ilala dar es salaam
0718239997 - - 0742522232 whtsp
Bei poa
Bei tshg 30,000,000/= milioni 30
Inavyumba vitatu- - (1 master) siting room...
USD LAKI 800,000/
GHOROFA INAUZWA UPANGA
SQM 1000
UPANGA MTAA WA MAZENGO NYUMBA YA VYUMBA VINNE VYOTE MASTER SERVANT QUOTER .KITCHEN NA SEHEMU YA KULA NYAMA CHOMA INAUZWA KWA DOLA 800,000/= KUNA...
Salamu Wakuu naomba kuwauzia Pagale MBILI kwenye Kiwanja kimoja.
Details
-Kiwanja kina Ukubwa wa Sqm 1543.
-Kiwanja Kimepimwa na kina Ofa(Hatua moja kabla hujapata Hati).
-Mapagale yapo...
Nyumba inauzwa Bagamoyo mjini
Ina vyumba 3 vya kulala
Kimoja master
Eneo square mita 800
Bado mpyaaaaa
Bei 190M
Maongezi yapo 🙏🙏
Mawasiliano 0757854660
TANLANDS REAL ESTATE
NYUMBA INAUZWA MSONGOLA
WILAYA YA ILALA:
NI NYUMBA MPYA KABISA
[emoji3591] BEI NI: TSHS. 45/- MILIONI
NYUMBA INA:-
[emoji3591] VYUMBA 3 VYA KULALA
[emoji3591] DINNING ROOM...
TANLANDS REAL ESTATE
WAKALA WA UUZAJI NA UNUNUAJI WA
ARDHI NA MAJENGO
[emoji3591]JENGO LA GHOROFA
LINAUZWA MBEZI - LUGURUNI
[emoji3591]KWA BEI POA KABISA
TSHS. 750/- MILIONI TU...
HABARI Karibu MUDU COMPANY LTD Located at Mbezi Beach samaki wabichi house 2nd floor Ni kampuni ya debt collection ,auctions and real estates tunauza. Nyumba na viwanja mbalimbali Maeneo tofauti...
Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting...
NYUMBA INAUZWA MBEZI MAKABE KWA DUNIA MACHO KODO. NI KM 3 TOKA STAND YA MAGUFULI
LOC :MBEZI MAKABE
AREA : SQM 400
PRICE : MIL 45
UMILIKI :MKATABA WA MAUZIANO
HII SIO YA...
NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -*
( MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE)
Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya...
*NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -
(MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE)
Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya...
Karibu tukuuzie nyumba ya Kisasa kabisaaa
Nyumba ipo maeneo ya pangaboy Kama unaenda Mpobo.
Unaweza kupitia barabara ya Mbopo inayotokea Mkoroshini, au kupitia barabara ya Mbopo kutokea madale...
Habari wana JF,
Nauza nyumba yangu iko Kivule kwa wamakonde kwenye kiwanja cha s.meter 500, haijaisha ila tayari ishapauliwa na mabati ya msauzi.
Kwa walio serious karibuni..22mil
Mawasiliano...
Habariniwakuu na pia napenda kuwapa pole na majukumu ya ya Kila siku
husika na mada tajwa happy juu kuwa nyumba inauzwa 10ml. Ipo pugu kimyamwezi umeme upo pia Hadi bomba la maji lipo Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.