Kwa wanaopenda makazi yaliyo karibu na barabara kuu hii inawafaa zaidi.
Nyumba ipo Gongo la mboto(Kwalala).
Bado ina eneo na bei ni nafuu kabisa.
Tsh 35,000,000.
Karibu kwa mazungumzo.
Call 0755519358
Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni self
Ukubwa wa plot 1400sqm
Bei 300m
Nyumba ni ya tatu kutoka barabara ya lami kunduchi ununio
Kwa maongezi zaidi na kuja kuona wasiliana nami kwa
0756060183
Ukishuka kwa mathias eneo lipo ndani kutoka barabara kuu 1.5km karibu na shule ya Secondary inaitwa Nyumbu. Bodaboda elfu 1 kufika site.
Vyumba 3 moja master
Jiko
Stoo
Choo na bafu
Sebule
Dinning...
0713672719[emoji336]0787672719
Nyumba ipo mjimwema Kibugumo
Ina vyumba vitatu kimoja master
Sitting room dining room iko na public
Toilet Ina Banda la vyumba 2 Bei milioni 60
Nyumba ina vyumba vitatu(kimoja master), Sebule, Jiko, na choo cha umma. Eneo la kiwanja ni Futi 50 urefu na futi 40 upana. Inapatikana Vikindu, kijiji cha picha ya Ndege, kitongoji cha Kamegele...
Nyumba ya vyumba vitatu,kimoja master,
Bei milioni 38
Ina hati
Ukubwa wa Kiwanja ni nusu eka
Ipo Mlandizi kilanga langa,
Toka morogoro road umbali mfupi kwa kutembea kidogo tu
Kwa muitaji karibu pm
Nyumba inauzwa ikiwa haijapauliwa ramani ya kisasa
Eneo ukubwa ni 30*25
Mahali Mbezi luois
Bei milioni 35,000,000/=
Mazungumzo yapo na karibu sana
Mawasiliano piga sim 0713660178
Habari wanajamii
[emoji213]Ni nyumba ya pili toka barabara kuu ya lami
[emoji213]Nyumba ina vyumba vitatu, viwili masters
[emoji213]Public Toilet moja
[emoji213]Ukumbi, Dinning, Jiko...
Nyumba ipo mwembe mdogo Kigamboni
Ina vyumba vitatu kimoja master sitting
Room jiko na public toilet Bei milioni thelasini na tano (ml 35) ipo mita 200 toka lami ilipo nicheki...
Nyumba ipo Kashai, Kashenye, Bukoba, ina vyumba vitatu vya kulala pamoja na sebule, ina umeme na maji, pia ina eneo kubwa la kujenga nyumba zaidi ya mbili, bei ni milioni 26, bei inazungumzika...
Nyumba iko Vikindu. Iko kwenye eneo la ekari moja. Ina vyumba vitatu, kimoja selfu. Ina maji safi ya kisima cha kuchimbwa (drill). Eneo limepimwa ila bado hati kutoka. Umeme ni nguzo tatu. Ipo...
GOROFA Ina uzwa Gezaulole kigamboni
Ina vyumba sita chini vitatu kimoja master
Sitting room dining room jiko na public toilet na chini vyumba vitatu kimoja master
Sitting room dining room jiko na...
Nyumba kubwa inauzwa mbagala kuu kijichi jeshini
Ina vyumba vitatu master moja,sitting room kubwa,dinning,kitchen na store
Ina seventy quarter ambayo haijamaliziwa pamoja na banda kubwa la mifugo...
Kwa Nini ukose nyumba mjini?.Pata nyumba za bei rahisi zote zinapatikana eneo la Mbezi malamba kituo mzalendo ni buku tu kwa bajaji kutoka mbezi stand (Bei na maeelekezo vipo kwenye picha)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.