Nyumba inauzwa (Pagale) ipo Kigamboni DSM.
Ukubwa wa eneo: SQM 500
Document: Hati safi kabisa ya s/mtaa.
Location: Kigamboni Mjimwema. KM 4 kutoka ferry, nyumba ipo karibu kabisa na barabara ya...
Asalaam alaikum wanajamii forum
Nauza nyumba ambayo namiliki mwenyewe sio dalali 0762987034
Ina vyumba vitatu viwili masters
Ina sebule, dinning, jiko , fensi
Ni nyumba ya pili toka barabara kuu...
Nyumba ina muonekano wa kuvutia,
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kinajitosheleza ( Masta bedroom), subule, jiko la kisasa na mahala pa kula.
Ni nyumba imara inayoweza kumudu mazingira kwa...
Land is suitable for both farming and commercial development purposes.
Fully fenced, great access, 8.3 acres’ land.Price TZS 8,500 million.Title deed ready.
Please contact for viewing and/or...
Nyumba zinauzwa apartment zipo 2 kila nyumba moja inavyumba v3 vyakulala nyumba ipo tegeta wazo kwamakamba bei milion 70 maongezi yapo kalibu 0712943877
-Fremu zipo katika mfumo wa ghorofa chini na juu,ziko 12 zinaface barabara na baadhi zina watu tayari (kupangisha fremu moja ni 70 kwa mwezi)
-Nyuma ya fremu kuna vyumba vya kupangisha chumba na...
Nyumba ipo Bomangombe Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro Ngalawa Road, nyumba bado ni mpya na ina room nne za kulala. Ambazo mbili ni master, ina sebule kubwa, jiko, stoo pamoja na dining.
Bei...
Nyumba hii ni mojawapo ya nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) mwaka 1968.
Ni nyumba ya mjengo wa kizamani. Ina nyumba vitano vya kulala na korido katikati. Uani kuna choo 2...
Nyumba 2 zinauzwa kwa pamoja ndani ya eneo moja shilingi milion 70. Maongezi yapo.
Zipo Kimara Mavurunza. Gari inafika mpaka mlangoni. Umeme upo. Nyumba ya kwanza inavyumba 12, vitatu ni master...
Nyumba Ipo Kiluvya Madukani,
Nyumba Ipo umbali wa Kilometer Moja Kutoka Morogoro Road. Ukubwa Wa Eneo ni mita 15 Upana na Urefu mita 22.60. Nyumba Ina Vyumba Vitatu Vyote ni Masterbedrooms...
Habari nyumba hii inauzwa ipo barabarani kabisa Goba million 58 tu karibu ujionee tupigie 0763542515
Ina vyumba vitatu na sebule umeme na maji vipo pia ina by quarter kwa nje kama una vijana...
Nyumba ya kisasa ina vyumba vinne master jiko, siting room, dining umeme na maji ipo bararani njia ya kwenda kiwanda cha plastiki Vikindu madafu ina eneo kubwa limebaki unaweza kupiga simu namba...
-Nyumba ipo Kinyerezi mwisho 1.5 km kutoka barabara ya lami
-Ina vyumba vitano,viwili master,sebule,dinning,public toilet,jiko na stoo
-Ukubwa wa kiwanja ni sqm 700 ( 35 kwa 20)
-Pamepimwa...
Habari za mwaka mpya wakuu
Nyumba inauzwa pugu kajiungeni
km 1 kutoka barabarani.
Ina nyumba vi3 vikubwa.
bei ni milion 45 maongezi yapo
Ni square mita 1500 yaan mita 30 kwa 50
No 0753567696
NB...
nyumba tatu zilizokua kwenye kiwanja kimoja zinauzwa
Mahali: Chanika
ukubwa wa kiwanja ni 1405 sqm
matumizi ya nyumba yanaweza kutumika kwaajili ya makazi au biashara ya kupokea wageni
Huduma...
-Nyumba ipo kimara matosa njia panda ya Kimara na Matosa. Ni eneo lililotulia lisilo na kelele kwa ajili ya kujipumzisha na familia ukitoka kwenye mihangaiko ya siku nzima
-Nyumba ina vyumba 3...
Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja master dining room public toilet jiko stoo na sitting room
Kwa tshg million 28,000,000/=
Ukubwa wa eneo sqm 400
Ina hati ya ofisi ya...
Salam kwenu wakuu.
Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area.
Lina vyumba vitatu.
Masterroom 1
Vyumba vya kawaida -2
Sitting room
Dinning room
Kitchen na store...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.