Nyumba inauzwa ina vyumba vitano,gharama ni Tsh.19,000,000/= , ipo Pugu Kigogo Fresh/Pugu Station . Ina Sebule ,master moja, choo cha ndani ,vyumba vitatu vya kawaida.Karibuni maongezi ya bei...
Kiwanja kina nyumba yenye vyumba viwili na sebure kimoja ni master.
- Kiwanja ni 624m2
Kuna maji hapo hapo (ya uhakika) na umeme(wa uhakika)
Dk2 bara bara ya lami
- frem ya biashara moja...
Sifa:
Vyumba 3, kimoja ni master.
Sebule kubwa
Jiko na stoo yake
Choo cha wageni
Eneo kubwa na la kutosha,
Unalizia rangi, tiles na ceiling board unaaamia.
Kwa mawasiliano zaidi: 0767077952
Tazama...
Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani). Mita 200 kutoka standi ya migombani
Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master), sebure, dinning, jiko na public toilet. Ina umeme na maji ya DAWASCO
Gari...
Nyumba ina vyumba 3 kimoja master , sitting na daning pamoja na jiko
Nyumba ina jiko la nje na ndani . kisima cha maji na umeme. .nyumba ina fence kubwa na nyumba ni mpyaaa
Ukubwa wa kiwanja...
Nyumba inauzwa Goba njia nne ipo vizur sana bei yake ni milion 50 maongezi yapo kwa mwenye uhitaji wa hiyo nyumba haina migogoro wala mivutano inauzwa kwa sababu ya shida binafsi urefu ni 35 upana...
Habari!
Nyumba kubwa (haijaisha) yenye sifa zifuatazo ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 na nusu inauzwa:
1. Sebule kubwa (6M × 8M)
2. Dining room kubwa (4M x 4M)
3. Jiko kubwa (3M...
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu...
Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani)
Mita 200 kutoka barabara ya segerea -extenal kupitia jeshini
Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master)...
Ipo mjimwema mtaa wa Kibugumo
Ina vyumba viwili master sitting room
Dining Room jiko na public toilet kiwanja kina 25×35 pia mbele kuna Boma la Frem
Mbili za biashara bei Tsh. milioni 85 maongezi...
Nyumba inauzwa ipo Sumbawanga Izia mita 80 kutoka soko la sabasaba
Ina vyumba vyumba vitatu kimoja ni master,sebule,dining room,jiko,store kwa nje ina chumba na sebule,vyoo vya nje,na vyumba vinne...
Lovely double storey house founded in a good neighborhood of Mbezibeach almas street, few metres from Mwaikibaki road, coming with four bedrooms ( all selfcontained ) plus servants quarter. Built...
Nyumba pamoja na kiwanja vnauzwa Kimara Baruti. Ukubwa wake ni 35 kwa 30. Bei yake ni 50m maongezi pia yapo. Kwa mawasiliano zaidi piga 0687968594/0714140094
Naomba kuwajulisha kuwa Nauza nyumba Ipo Kiharaka ukipita daraja la Bunju unapinda kulia ilipo kambi ya jeshi sasa kabla ya kufika Nyumba ipo hapo Serikali za mitaa.
Ukubwa wa Nyumba ina vyumba 3...
Nyumba Inauzwa KIGAMBONI VIJIBWENI,
Yenye Vyumba (3) vya Kulala Kimoja wapo ni Master
Public Toilet
Sehemu ya Kulia Chakula
Jiko
Nyumba bado Ijamaliziwa ipo kwenye Lenta
Kiwanja cha Nyumba Kina...
Habari wa JF
Nauza nyumba yenye vyumba vitatu, ukumbi, dinning, jiko
Vyumba viwili ni master na public toilet moja
Nyumba una fance tayari
Umeme maji tayari
Nyumba ya pili toka barabara kuu ya...
Salaam waheshimiwa, nahitaji vyombo vya ndani ( geto ).
Nahitaji kitanda, godoro, mtungi wa gesi, kikabati cha kizushi ( kibaharia) na vikoro koro vingine vya geto. Vitu ninavyotaka ni vya kijana...
Hili Shamba lipo Inje kidogo ya Mji wa Vikindu-Mkuranga.
Siyo Mbali kutoka barabara ya Kilwa. Kutoka Vikindu kwenda Mbagala nahuri ya Daladala ni Tsh 400, k-koo nahuri ni TSH 600. Kwahiyo siyo...
Nyumba mpya yenye Chumba kimoja masta pamoja na sebule.
Mahali: Mbezi Juu, Njia ya Goba, kituo cha tatu kutoka masana hospital..
Bei Tshs 150,000 kwa Mwezi.
Maji ya dawasa yapo, umeme luku wawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.