Nauza boma lipo
Majohe Kichangani
Ukubwa wa kiwanja ni 31×30
Nyumba ina vyumba 3 kimoja master
Pia pembeni nyumba in frame 4 za biashara
Ni mjini sana na umeme, maji na barabara vyote vipo na...
Hii ni nyumba ya kuishi na familia, inauzwa ipo Mapinga-Bagamoyo Road kwa bei ya Tsh. 18,000,000 (Milioni 18) lakini majadiliano yanaruhusiwa.
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo Masta...
Nyumba inauzwa ipo tanga mjini maeneo ya usagara ipo karibu na barabara.
Ina vyumba sita (6)
Sebule
Choo ndani
Fremu moja ya biashara
Maji + Umeme
Total Square meter (660)..Bei ni milioni...
Nyumba inaukubwa wa SQM- 450 ,Ipo karibu na ghorofa za NHC na chuo cha DUCE.
Nyumba ipo katika eneo tulivu kabisa wenyeji wa eneo hili wanaita hii Nyumba kijiji kutokana na Nyumba nyingi zilizopo...
Nyumba IPO mtaa wa Shirikisho
Kigamboni Mwembe mdogo mita 200 tokea stend
Na kilometa 15 tokea kivukoni
Call 0685392211
Document serikali ya mtaa na upimaji shirikishi umeshafanyika
Uwanja sqmt...
-Apartment iko posta ghorofa ya 10s
-Ukiwa kwenye apartment unaitazama bahari kwa upande mmoja kwa upande mwingine unautazama mji kwa ufasaha kabisa
-Ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ni...
Nyumba inauzwa Ina
1.Vyumba vinne kimoja master
2.Public toilet 2
3.dinning room
4.Sitting room
5.Open kitchen
6.front and rear verandah
7.Car parking shade
8.Eneo la hekari moja ndani ya fensi...
Nyumba yenye vyumba 5 ikiwa kwenye hali nzuri.
Ina uwanja mbele na nyuma
Mita za mraba 1500
Inauzwa mil 90 maongezi yapo
Karibuni simu 0768412181
Mbezi Kimara
Nyumba inauzwa ipo Jijini Mwanza katikati ya Nyegezi kona na stendi ya Nyabulogoya,pia kuna eneo limebaki kwa ajili ya kujenga nyumba nyingine,Eneo linafaa kujenga guest house.
Ukubwa wa eneo; 30...
Nyumba inauzwa eneo la Luguruni, ni maeneo ya karibu na majengo mapya ya manispaa mpya ya ubungo Sasa opposite, Vyumba vya kulala vinne
Ukubwa wa eneo ni robo ekari
Nyumba ni mpyampya
Pazuri Sana...
Nyumba ya wapangaji inauzwa, ina wapangaji 5 ( 3 ni single rooms, 2 ni chumba na sebule) wote kwa pamoja wanalipa 450,000 kwa mwezi na kila mmoja ana Luku yake. Ina vyoo 4.
Maji Dawasco na...
Nyumba ina Hali Nzuri na Eneo ukubwa miguu 25 kwa 20, Pia ipo karibu na barabara Kuu.
Ina Sebule kubwa, dinning room,jiko,vyumba 2 vya kulala,choo na bafu..
Na pia ina Banda la nyuma lenye...
Ipo Ndofe, Igoma..
- Ina vyumba vitatu kimoja ni master
- Sebule& dinning room
- Jiko
- Public toilet ya ndani
Nyumba ni mpya. Kiwanja kimeshipimwa ambapo ukubwa wa eneo ni 25*35 mita. Maji yapo...
Nyumba ipo Mbezi Mwisho mtaa wa Msakuzi ipo karibu na barabara/Kituo cha Daladala. Nyumba hiyo ina vyumba vitatu.
Price: TZS 26,000,000 (mwenye nyumba ana shida ya haraka kwahiyo kashusha bei)...
NYUMBA INAUZWA.
MAELEZO
Ni nyumba mbili ndani ya compound moja
Moja ina vyumba vitatu na nyingine vyumba viwili.
Pia zina:
-sitting
-dining
-public toilet
UKUBWA
sqm400
DOCUMENTS
Leseni ya...
Habari wakuu,
Nyumba inauzwa , mahali ilipo ni ni miembe saba, Kibaha mjini , ni nyuma ya tatu toka sheli ya panone , opposite kiwanda cha kusindika chakula cha kuku na binadamu cha Energy.
Sifa...
Ina vyumba vitano kwa ndani, bafu choo, na kuna vyumba viwili vya nje pamoja na eneo kubwa kwa nnje, nyuma na mbele.
Eneo la mbele ni kubwa unaweza ongeza nyumba nyingine au fremu za biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.