Nyumba inapatikana Kibaha kwa mfipa (2km kutoka Morogoro road)
MAELEZO:
nyumba ina vyumba vinne (4) vyote ni self-contained.
Ina sebule, jiko, store na public toilet.
Eneo la kiwanja ni sqm 2000...
Moja Kati ya Apartment 10 za Nyumba za Mteja Wetu wa MBWENI ikiwepo Kwenye Hatua za Finishing.
Nyumba ina Vyumba Viwili(2) vya Kulala
Chumba Kimoja ni Self
Ndani ya Hii Nyumba Kuna:-
Dinning...
Nyumba inapatikana wilaya ya Ilala.
Nyumba ina vyumba vitatu, sebule, jiko.
Eneo la kiwanja ni sqm 400 (20*20)
Huduma za kijamii zinapatikana (maji, umeme na barabara)
Umbali kutoka msongola...
📍Eneo Lilipo: Makongo Juu - Mageuzio
📍Aina ya eneo: Eneo la makazi Kubwa lililo na mjengo wako
📍Ukubwa wa eneo: 2100 Sqm
📍Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu
📍Huduma za...
Pagale linauzwa lipo mbezi msakuzi.
Details:
Ni nyumba kubwa na ya kisasa, yenye vyumba vinne vya kulala, viwili masters na viwili vya watoto, sebule na dining yake, jiko na store yake...
NYUMBA inapatikana KITUNDA, Kivule
Km 8 kutoka nyerere road (old pugu road)
Nyumba Ina vyumba viwili (all are self-contained)
Aluminium windows, full gypsums & tiles
Perving blocks
air-condition...
Habari wana jf,nadhani hi awamu ya tatu hii ni baada ya kukosa mteja wa uhakika na changamoto za hapa na pale.....ila cha kushukuru ni kwamba nyumba mpaka sasa haijapigwa Mnada
SIFA ZA NYUMBA...
PAGALA linapatikana PUGU, kigogo fresh
Kutoka lami ni 1.3km
Ina vyumba vitatu, sebule na choo cha ndani.
Eneo la kiwanja ni upana 18meter na urefu 27meter
Huduma zote za kijamii (maji, Umeme na...
Nyumba inapatikana wilaya ya Ilala, kata ya Msongola (eneo la Msongola)
Ni unfinished house
Eneo la kiwanja ni meter 30*25 (sqm 750)
Ina vyumba vinne (viwili ni master bedrooms)
# studying room...
NYUMBA INAUZWA
STRUCTURE
Ni nyumba ya vyumba vinne(1 master)
Pia ina;
-dinning
-sitting
-jiko
-public toilet
-parking kubwa
DOCUMENTS
Eneo limepimwa lina hati miliki(title deed)
LOCATION...
NYUMBA INAUZWA IPO DAR ES SALAAM TABATA LIWITI
SIFA ZA NYUMBA HII INA VYUMBA 4
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
@Vyumba 2 master
@vyumba 2 vinatumia public
toilet
@vyumba vyote makabati...
Nyumba ina vyumba 4 vyote ni self,
Size plot 2300 sqm
Nyumba imefes lami inayoenda whites and hotel
Na pia iko jirani na Giraffe hotel
Panafaa kujenga Hotel,Apertment, supermarket, huduma za...
Habari za mchana Wakuu.
Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu, nyumba nzuri inauzwa Sengerema - Mwanza na bei imeshuka mpaka 29mil.
Eneo lina ukubwa 450sqm.
Nyumba imezungushiwa fensi na kuna...
Maelezo:
Nyumba inapatikana mwanagati, (wilaya ya ilala)
Nyumba ina vyumba vitatu ( 1 self contained)
Ipo ndani ya fensi
Ina maji na Umeme
Eneo ni sqm 625 (25*25)
Eneo limesharasimishwa...
BEI IMESHUKA ZAIDI
nyumba inapatikana mtoni kijichi karibu na maghorofa ya jwtz.
MAELEZO husika.
1. ina vyumba vinne na vyote ni master bedrooms.
2. ina chumba cha kufulia
3.ina chumba cha...
Mahali lipo: Kishili Bukaga
Kiwanja : Kimepimwa upimaji Shilikishi
Ukubwa Wa eneo Ni 40 * 35 m
Boma: Lina vyumba vitatu, viwili Master, sebure, Jiko, dining, store, public toilet
Materials...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.