NYUMBA INAUZWA NKUHUNGU WEST
MAHALI; Nkuhungu west
MUUNDO WA NYUMBA
-Vyumba 04 vya kulala,kimoja master
-Jiko
-Sebule
-Dining
-Public toilet
---------------------------
HUDUMA
-maji 24/7
-umeme...
ninauza boma eneo chanika mwisho limejengwa nusu kama ulionavyo ukubwa ni 28 kwa 12meters ipo jirani na bara bara ina vyumba 3,master 2 na cha kawaida kimoja,store,jiko na seble shimo la choo...
Sio Nyumba mpya mwenyewe nahamia mkoa kuna mpangaji 1 ENEO SIO KUBWA 200 SQM LIMEJENGWA LOTE NDIO MAANA BEI IKO CHINI
Hapo mbele mvua imeharibu ngazi na tofali za pembeni. Tabata Kimanga...
Full detached house with 5 bedrooms furnished inauzwa bil.1 na 35
Ina 2 living bedrooms
1BQ room
Alarm fire system
Inbuilt sound system
Location: LP N
Kama hununui ebu ipe credit...maana...
NYUMBA MBILI ZINAUZA UNUNIO MAELEKEZO
Zipo ndani ya compound moja
Zote zina Vyumba 3(1 Master)
Sebule,jiko na public toilets UMBALI
Kilometa 1 toka baharini( Beach)
DOCUMENTS
Eneo lake ni SQM...
Nyumba inauzwa maeneo ya Kigamboni gezaulole dsm Nyumba kubwa vyumba sita self nilijenga Nyumba hii kwa lengo la kupangisha ila mipango sio matumizi nikaishia njiani pesa imekata,sasa nimemua...
NYUMBA INAUZWA TABATA SEGEREA
DETAILS:
Ni nyumba ya vyumba vitatu kimoja wapo ni master room.
Pia ina dining,sitting,public toilet,jiko,parking kubwa na fensi
Eneo limepimwa lina sqm 412 ila hati...
Wadau pole na majukumu, kuna kiwanja / kiwanja kinyelezi kimbii, yani sehem imechangamka badalaa, na barabara imenyooka.
Nauza kwa 40M. Maongezi yapo, nahitaji kuhama faster kama kuna mtu...
Nyumba ina wiring, gypsum kisasa,Aluminium windows, tiles, vyoo viwili ndani vyumba vya kulala 3,kitchen,sitting room, Ina miundombinu ya maji ndani,ina kisima cha maji baridi ya kunywa,Ina chumba...
salaam,
Nyumba inapatikana PUGU, majohe
Ina vyumba vitatu (master inclusively)
Eneo ni sqm 600
Ina tiles, gypsum na aluminium windows (ila si madirisha yote)
Nyumba ipo ndani ya fensi
Bei: 35m...
Nyumba inauzwa ipo kinyerezi dar es laam kiwanja kina hati nyumba ina vyumba 4 vyumba 2 master stingroom daining jiko bei milioni mia 130,000,000 maongez yapo kwa maelezo zaidi 0658720137
Sent...
PureLife Tap Maji safi ni nini?
BF Suma PureLife ya Maji inashika nafasi ya 7 kati ya vifaa vyenye ubora na ufanisi wa maji kwa hali ya juu , kifaa ambacho kinaweza kuzuia chembe za 0.1amu na...
Nyumba inauzwa massana
Inavyumba 3, Master bedroom,
umbali wa mita 40 kutoka barabara ya Massana- Goba.(Ni Km 1.2 kutoka Barabara ya Bagamoyo) Maji na umeme upo.
Nyumba imekamilika kwa 100%
Bei...
HOUSE FOR SALE AT BUNJU B.
Price: 50 milion Tsh.
Location: Bunju B
650M from Bagamoyo Road.
Plot size: 400 Sqm
Accomodation: 4 bedrooms (1 self contained ) with a lounge, kitchen, dining...
kama maelezo yanavyojieleza hapo, nyumba haina tatizo wala mgogoro wowote inaishi familia ya mtu mmoja ina ROOM 4, Inafaa sana kama mtu ana malengo ya kumiliki hapo ili aje kupandisha jengo la...
Nyumba ina vyumba 8 na frem moja ya biasha na ina kieneo kidogo cha mabanda kimebaki
Mita 100 kutoka lami
Panafaa kuboresha kwa ajili ya makazi, kwa biashara kama Gest house au apartment pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.