Nyumba ina vyumba vitatu chumba master public toilet, dining room, stoo, jiko na sitting room kubwa pia umeme maji gypsum safi, tiles
Kwa mahitaji piga simu kwa maelezo zaidi
BEI: Milioni 120...
#VYUMBA 3 KIMOJA MASTER
#DINING ROOM
#PUBLIC TOILET
#JIKO NA STOO
# SITTING ROOM KUBWA
PIA INA SEHEMU KUBWA YA KUPAKI GARI PIGA SIMU KWA MAELEZO
SIMU 06 84 23 03 99
WHATSAPP 06 25 43 38 99...
Nyumba kubwa yenye vyumba vinne,sebule kubwa,dining,veranda,jiko,jiko lingine la nje na kijumba kidogo cha pembeni. Iko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 70 kwa mita 35.Iko vijibweni dar.Bei ni...
Habari za mida,
Nyumba kubwa inauzwa ipo Buguruni - Rozana, Ni nyumba ya vyumba vitano ndani na nje kuna vyumba vinne ambavyo vitatu ni single na kimoja ni double room na kwa nje nyuma ya nyumba...
Habari wakuu, kuna vyumba vipo viwili na vyote ni double, vipo Kawe Ukwamani, ni kama mita 40 kutoka stand ya Ukwamani, kila chumba 50,000 Tshs, kwa viwili inakua 100,000 Tsh kodi ni miezi sita...
Ford Rangel XLT 2006
AC ya Kujaza
Diesel Manual
Location: Mbezi Beach
Simu: 0774819712
Gati imekaza
Bei 7ML inavunjika na IST au VITZ isiwe na kipengele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba Inauzwa Bunju sqm1860 Bei Million 650 vyumba vitano vyote self Bunju B uwanja wa simba 2klm toka lami ukiingilia Bunju b kituoni ukiingilia njia ya kwenda uwanja wa simba 1.2 klm ina title...
Nyumba ipo mbezi mwisho mtaa wa msakuzi ipo karibu na barabara/kituo cha daladala
Price: TZS 26,000,000 ( mwenye nyumba ana shida ya haraka kwa iyo kashusha bei)
.Documents serikali ya mtaa...
Habari wanajukwaa nauza nyumba ipo kimara mwisho maeneo ya kwamashaka km 4 kutoka barabara ya morogoro road kwa boda bodo ni sh/ 1000 kwa bajajish/500.
Eneo lina upana wa 40 -33 na 40 20 - 33...
Jipatie ramani nzuri za nyumba pamoja na B.O.Q kutoka JM construction company
MAWASILIANO:0758294772(Engineer)
MAWASILIANO:0657855955(Engineer)
tunapatikana Dar es salaam izo ni baadhi ya kazi...
NYUMBA INAUZWA
DETAILS
Ni nyumba ya vyumba vitano(1 master)
Pia ina;
-sitting
-Dinning
-kitchen
-store
-public toilet
-parking
-Tiles
-Gypusm
-slidewidows
HUDUMA ZA KIJAMII
-maji
-umeme...
Sehemu: Magomeni Kagera (kinatazamana na Morogoro Rd)
Ukubwa: 347 sqm
Bei: Milioni mia moja na kumi tu (110,000,000) tu
Kina Leseni ya Makazi
Contact: 0655888268
NYUMBA INAUZWA
MAELEZO
Ni nyumba ya vyumba vinne(1 master bedroom).
Pia ina;
-Dinning
-Sitting
-jiko
-store
-Public toilet
-uwanja kubwa kwa ajili ya parking.
UKUBWA WA ENEO
30*20(sqm 600)...
Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area)
Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya...
Ina vyumba vitano bafu na choo ndani, ina vyumba vingine uwani viwili vyenye choo na bafu, ina eneo kubwa kwa mbele na nyuma pia ina eneo kubwa, gari inafika hadi mlangoni
Bei milioni 46...
Nyumba INAUZWA Ipo mapinga shule bagamoyo, ina room tatu ,sebule, chumba kimoja master, na choo cha ndani cha public, ina Umeme, maji pia, bei Tsh milion 45 .CONTACT :+255683 224 363
NYUMBA INAUZWA
DETAILS
Ni nyumba ya kisasa sanaa ya vyumba vinne(2 master)
Pia ina;
- dinning
-sitting
-jiko
-public toilet
-parking
LOCATION
kibaha mkoani kati kwa dachi
UKUBWA
Sqm 965(30*32)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.