Eneo SQM 575 linauzwa Kata ya Miburani, mtaa wa keko machungwa (lina nyumba), panafaa kwa makazi gari inafika mpaka mlangoni, document yake ipo bei ni mil 75 maongezi yapo
Kwa maelezo zaidi...
Tuna design matangazo kwa bei poa mnoo yaani shilling elfu mbili tu kwa kila tangazo wahi sasa ofa hii ni chache yaani elfu mbili yako tu jipatie tangazo lako kwa biashara yako piga number 0743401394
Liko Mbezi Beach-Jogoo ( mita 700 kutoka barabara kubwa).
Vyumba vitano vya kulala ikiwemo master bed room na baby room,sebule,dining,jiko na store
Nyumba ina nyaraka zote muhimu
Bei ni...
Nyumba ya kisasa inauzwa ipo chanika buyuni ina vyumba vitatu vitatu viwili self contained na kingine cha kawaida pia nje ina servant quarter nayo ni self contained kiwanja kina hati ,fance gate...
Habari zenu wanajamvi,
Nauza nyumba yangu mwenyewe sio dalali, ipo wilayani Maswa mkoani Shinyanga mtaa wa Dodoma, kama upo serious nichek tufanye biashara, bei ni maelewano, ndani ya eneo la...
Waungwana nauza nyumba eneo la TABATA karibu na Baa maarufu Da'west park, eneo limepimwa na lina hati ya makazi, eneo liko barabarani kabisa, kuna nyumba kubwa ya vyumba vinne, kunaeneo tupu...
Kama hichwa cha thread kinavyojieleza,Kuna rmtu anauza plot yake ya ft 50/60 ambayo tayari ina mabanda ya uhani (vyumba vitatu) kwa Tsh Million 10.
Nyumba ipo eneo zuri na site haina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.