Wakuu salaam
Kama ambavyo tangazo linajieleza,nyumba hii inauzwa bado haijakamika IPO kwenye lenta ,nyumba IPO Bunju B(Mugemuzi) pale sokoni unapandisha juu kidogo ni kama 1.5km toka barabarani...
Nyumba mbili mpya za kisasa vyumba vinne kimoja master jiko sebule na store room..ukubwa wa eneo ni 25*30 viwanja vime pimwa na vina hati..milango na madirisha ya grill tayari.
Nyumba moja ina...
Wakuu Asylum Aleku
Nauza nyumba ipo mbezi msakuzi dsm
Ina vyumba vitatu, 1master, public toilet
Ukubwa wa eneo robo heka na zaidi
Nyumba ina tiles yote, bati m'south
Kuna hati ya makazi...
Nyumba ipo Kongowe kibaha ina vyumba 2 kila chumba na choo yake iliyokamilika.
Kuna kiwanja kuendeleza ujenzi
Bei ni million 15 Bei ndogo kulingana na hali mbaya ya mdololo wa kiuchumi
Ukubwa...
Ukubwa wa Kiwanja:sq meter 1200
Ina fensi na getiI kubwa upana meter 4 serv coater
____________________
Master bed rooms: 2
Normal bed room :1
Bafu na choo cha public
Jiko la kisasa ndani...
Nyumba ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu ipo Mbagala Chamazi kituo cha Magengeni.
Nyumba ni mpya ipo karibu na barabara na huduma zote za jamii. Bei yake ni 65 milion.
Nyumba ina documents...
Nyumba nzuri,mpya na ya kisasa ipo maeneo ya Mbagala chamazi.Imejengwa ktk ubora wa hali ya juu na ipo karibu na barabara na huduma nyengine za kijamii...
Nyumba ipo boko/ mianzini dare salaam
Plot size sqm 1000
Haina title deed
Ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master moja
Ina jiko
Sebure
Na sehemu ya kulia chakula
Pia ina tailiz ndani...
jumla ya vyumba ni vinne ,master Mbili
+Sebule+Dining Room+jiko+stoo
+tank maji +fensi na Parking
Ipo mikadi kigamboni
Bei: Tsh. 210 milion (maongezi yapo)
Ina hati na nyaraka zote muhimu...
Salaam wadau..nauza nyumba ipo Makumbusho stand kwa nyuma karibu kabisa na hotel ya Mesuma.Ina eneo la kutosha sana.Bei ni Mil.160 maongezi yapo.In hati miliki. Kwa mawasiliano...
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI.MAGENGENI KWA URASA.UKITOKA FERY NI DK 5 KUTEMBEA KWA MIGUU.INA VYUMBA VINNE(4) VYA KULALA,KIMOJAWAPO NI MASTER.HIVYO VYUMBA VINGINE VITATU VINA-SHARE-(TUMIA) CHOO...
Bestates Properties
Contact: 0786157788
inauzwa • TSh milioni 15 • Kigamboni, MuembeMdogo • kilomita 22 kutoka ferry au 2 kutoka Dege Eco Village • iko karibu na barabara ya kuu ya lami...
Habarini wanaJF kuna ndugu yangu anahitaji nyumba maeneo ya kimara iwe na vyunba viwili vya kulala,sebule ,jiko na choo luku ya peke yake maji hakiwa ya kushea sio mbaya iwe na fance na parking na...
Nyumba inauzwa ipo Mabibo Makutano Mita 300 Kutoka N.I.T kuelekea makutano
Nyumba ipo kwenye Eneo la mita 45
Ina apartments za kuishi Sita
Ina fremu NNE
Bei ni 300 million
Mazungumo yapo...
Inapatikana tegeta karibu na barabara ya kwenda twiga . . Ina hati.. vyumba vitatu, kimoja master,, sebule kubwa, dining, jiko, public toilet, na uwanja mkubwa nje kama inavyoonekana..
Ipo...
Ipo Goba Matosa umbali wa mita 250 kutoka Barabara ya lami,ina vyumba 3 vya kulala(kimoja master bedroom) dinning,sitting room,jiko,public toilet,Kiwanja kina ukubwa wa 30x22 bei tsh 55m.
Nauza nyumba yangu ipo mbagala zakhem ina vyumba viwili, jiko, choo na ipo na fensi ya matofali. Inaumeme pia ina nafasi ya kuongeza vyumba viwili na ipo katika hali nzuri. Gari inafika mpaka...
Ina vyumba vinne vya kulala, sebure, jiko na sehemu ya kulia chakula.
Kiwanja kina ukubwa wa 1200 sqmts. Bei 160mil. Kwa mawasiliano piga simu number
0784225000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.