Nauza nyumba ipo mbagara sabasaba mwanamtoti karibu na shule ya sekondari ya st antony.
Nyumba ina sifa zifuatazo.
-ina umeme
-ina maji ( maji yanapanikana nyumbani kabisa ya bomba)
-kwa ndani...
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa maeneo ya kujitonyama , eneo lina 1000mita za mraba. Ila nyumba imechukua mita za mraba 600. Mazingira ni mazuri pia iko karibu na Mesuma hotel. Ina vyumba vitano na...
Nyumba ipo Kimara mwisho km 3 kutoka barabara ya MOROGORO maeneo ya Mavurunza eneo limepimwa lina ukubwa wa sq mita 900 nyumba imeishia linta ,(haijapauliwa) ni selfu ina vyumba 3 vya kulala...
Nyumba yenye chumba cha kulala, sitting room, choo, jiko imepauliwa nusu na kuna mtu anaishi kwa uangalizi ikiwa na eneo la heka nne, inauzwa mil.15.
MAJI, MCHANGA, KOKOTO, MAWE VIPO VYA KUTOSHA...
Karibuni ndugu jamaa na marafiki,nauza Nyumba mbili maeneo ya MBWENI Jirani na SHULE YA WATURUKI,iliyo na Fensi tayari ni 200M na hiyo ambayo haina Fensi ni 280M
Napatikana kwa 0715011022
Habari wanajamvi,
Napenda kuwatangazia biashara ya nyumba inauzwa kiuhalali Kinyerezi mwisho yenye sifa zifuatazo
1. Nyumba kubwa na banda la uani (nyumba ndogo)
Nyumba kubwa ina:
Vyumba...
FOR
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ DATE LISTED: 10 AUGUST 2016
ASKING PRICE: TSH:250,000
laki 2 na nusu
TERMS OF PAYMENT: 6
MONTHS ( miezi 6) + KODI YA MWEZI MMOJA YA DALALI...
Poleni na majukumu wanajukwaa wenzangu, lodge ipo sokoni ni mpya na bado haijaanza kufanya kazi.
Ipo eneo la Mbagala Kizinga umbali wa mita 50 kutoka barabarani, wiring ya umeme imeshafanyika...
Bikuhabari memba wenzangu wa JF.
Lodge mpya bado haijaanza kufanya kazi, ina jumla ya vyumba 12, vyumba 10 self, viwili vilivyobakia ni store na mapokezi.
IPO Mbagala Mzinga, bei inaanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.