Habari.
Kichwa cha Habari chajieleza..Nina nyumba yangu maeneo ya Chuo cha Teku (Block T)Barabarani kabisa karibu na kwa Memba,sipo mkoani Mbeya kwa sasa na Naitaji kuiuza.
Nauliza kwa Sasa Hapo...
Nyumba ina vyumba vinne kimojawapo ni self, ukumbi wa kukaa na ukumbi wa kulia chakula, jiko stoo, n.k. Nyumba imebakia kuezekwa/kupiga bati. Ipo mita 300 kutoka barabara kuu jirani na shule ya...
Nyumba za bei nafuu zinauzwa maeneo ya Mbagala Chamazi. Bei inaazia 20M mpaka 45M. Ni umbali wa 2Km kutoka barabara kuu ya kuelekea Azam complex. Gari inafika mpaka eneo la nyumba Umeme, Maji...
Nyumba ipo Dar es salaam, Kigamboni, Mvumoni Km 16 kutoka Ferry kufuata barabara iendayo Gezaulole. Kiwanja kina hati ya miliki ya miaka 33 na kina sqm 811. Nyumba ina vyumba vinne vya kulala na...
Sifa za nyumba:
[emoji768] Ina vyumba 4 vya kulala
[emoji768] sitting & dining room
[emoji768] Jiko ndani na nje
[emoji768] Kisima cha maji na tank la maji
[emoji768] Fensi na parking ya gari...
A fully furnished 3bedroom appartment with kitchen living room balcony gym and swimming pool outside plus security is for sell at masaki seaview along Toure drive Oceanview, the appartment is in...
Eneo:TungiKigamboni/Dar Es salaam opposite na Shule Ya FRAY LUIS AMIGO
ukubwa wa eno: 600 SQM
Bei:tsh 90,000,000 (Tshilingi Mil 90)
Mob: 0718295182 niko watsap pia
Negotiate:Yes
Sifa:haijapaliwa/...
Tunauza hii Nyumba Ipo kigamboni mtaa wa Tuangoma goroka njia panda ya Jeshi
Nyumba ni ya Ghorofa chini chumba kimoja self na Juu vyumba 3 vyote ni self nk
Ukubwa wa plot 1500sqm na bei yake...
Nyumba INA vyumba 3 kimoja self, jiko,nk
Nyumba bado mpya. Bei yake 150ml. Maongezi yapo, kwa mawasiliano zaidi au kutaka kuiona wasiliana nami kwa 0756060183
Nyumba inauzwa mbweni jkt mitaa aliyo kuwa akiishi dr sraa nyumba ina master bedroom 1 na bedrooms 2 za kawaida ina dinning public toilet and big kitchen. Nyumba ina viwanja viwili yani kila...
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master bedroom, sebule na sehemu ya kulia chakula, jiko, choo cha Jumuiya, Maji na umeme vipo, tiles, gypsum board, fensi, parking ya gari ndani...
Nyumba ya kisasa ina vyumba vtatu vya kulala (1master&2single),sitting room kubwa ya kisasa, dinning room, 2 public toilets,fens&parking area,maji yapo,umeme unawaka, full tiles,Nyumba ipo mta 300...
Nyumba hii Inauzwa Iko mbagara Chamanzi Saku.
Ina 3bedroom,sitting room,dinning room,kitchen,store.
Bei ni 100 millions, pia bei inapungua. Tuwasiliane kupitia 0659 91 9292
Nyumba ina vyumba vnne vya kulala ft12×10(1master&3single)sitting room, store, public toilet, kisima cha maj kipo nyumba ipo mtaan na
mita chache kutoka stand ya daladala
0656 698232
Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya vetenary temeke.Ina
1.master room moja
2.guests rooms mbili
3.sebule/seating room moja
4.jiko
5.public toilet ya ndani
6.public toilet ya nje
7.visima vya maji viwili...
Habari za siku ya leo ndugu yangu, leo nisiku nyingine tena ambayo nawalete habari njema juu ya makazi ya mwanadamu.
Nyumba hii ina vyumba 4, jiko1, seating room1, frems 2 kwa upande wa kulia...
Ndugu mteja, Nyumba hii inapatikana maeneo ya Chamanzi Dovya kwa Mzara jijini Dar es salaam. Kwa gari ni 10dk kwa speed ya 30kmp/hr kutoka Mbagala Rangi tatu hadi eneo ilipo nyumba hii.
Nyumba...
Nyumba ina vyumba vtatu (1master&2single with public toilet),sitting room kubwa, dinning, (fens&parking area),umeme unawaka ipo barabara ya mtaa kutoka stand ya daladala n mita 700 contact 0656 698232
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.