Nyumba inauzwa nyegezi Bondeni, mtaa wa Nyamazobe iko njiani mkono wa kushoto ukiwa unapandisha na barabara ya kwenda shule ya msingi Nyasubi,jirani na kwa Lugiko.
Ina vyumba vitatu na siting...
Bei tsh milioni 25
Iko Mwemberadu kigamboni Km 2 toka kwenye Pantoni
+vyumba vinne
+Sebule
+tiles
Ina Umeme
Maongezi Yapo
Unaweza ifanya hostel, kwani kuna wanafunzi wengi wa chuo wanahitaji...
Bei: 70 (maongezi yapo)
Vyumba vitatu kimoja master, jiko, dining, public toilet na sitting room
Mahali:Ungindoni km 12 toka ferry na km 2 toka barabara ya lami
Pia Unaweza Kulipa kwa awamu Kwa...
nyumba chumba na sebule inauzwa kigamboni
Bei:milion 6.5
Ukubwa wa eneo:19x19(hatua)
Mahali:kibugumo km 12 toka ferry (2 km toka barabara ya lami)
Kuiona nyumba tsh 10,000, husipoipenda...
Price:Tsh 130 mil
Direction:Kibada 11km from Panton station [emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668][emoji668]...
Nyumba ya kisasa yenye ubora wa hali ya juu ipo Mbagala Chamazi kituo cha Magengeni.
Nyumba ni mpya ipo karibu na barabara na huduma zote za jamii.
Nyumba ina documents zote.
Inauzwa Tsh.60...
Habarini wana bodi..tunauza nyumba yetu maeneo ya Ilazo dodoma mjini..barabara lami umeme na maji ndani ya nyumba ina fence na geti kabisa pia ina frame mbili..nyumba imeishia juu ya lenta ina...
IVORY TOWER ltd. inauza apartment iko mjini kabisa , ni mwendo wa kutembe kwenda kariakoo, karibu na supermarkets, kuna chekechea mbili karibu na jengo za lugha ya kiingereza , pia ni karibu na...
Salaam..wandugu nna nyumba nyingine tena sokoni ipo Dodoma mjini meliwa..ukubwa wa kiwanja ni 25*33 haina fence ila ina grill na imepauliwa bado finishing tuu..umeme na maji ni uhakika bei 35...
FOR SALE
DOCUMENTS; LOCAL GOVERNMENT
PLOTSIZE ; 22/25 ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ DATE LISTED: 29 MARCH 2017 : WEDSDAY
ASKING PRICE: [emoji389] TSH: MILIONI #120
DIRECTION ...
Sallam wakuu..poleni na majukumu ya wiki..tumerudi tena na mzigo mwingine wa nyumba.Nyumba zipo kisasa dodoma na Area D Dodoma mjini barabara..maji. na umeme ni uhakika na nyumba zina hitaji...
Ina vyumba vinne Na Sebule
Iko Mwemberadu km 2 toka Ferry
Ina umeme na tiles
Bei tsh milioni 28
Unaweza ifanya hostel, kwani kuna wanafunzi wengi wa chuo wanahitaji maeneo ya karibu na ferry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.