Nyumba ipo kunduchi beach ina vyumba 8 na frem moja ya biashara na pia ina banda la uwani
Gari inafika hadi kwenye nyumba na jirani kabisa na barabara ya lami
Size plot 700sqm
Panafaa Gest...
Habari wakuu!
Kuna nyumba inauzwa maeneo ya ukonga-banana ina vyumba vinne,sebule,sehemu ya kulia chakula, store na sehemu ya parking ya gari,na bado kuna eneo kubwa la kujenga nyumba nyingine na...
Kama mada isemavyo, nyumba ipo Mwenge mitaa ya TRA jijini Dar es salaam, nyumba ina vyumba vitatu na mabanda ya uwani, eneo lina sqm 500! Document zote zipo na hati! Bei ni 260M maongezi yapo
Pia...
Location: Pongwe, Tanga.
Umbali kuelekea main road: 1 km
Maji yanapatikana 24 hrs, 7 days.
Umeme upo karibu, hakuna haja ya nguzo.
Vyumba vitatu, kimoja master
Kuna Public Toilet
Kuna Jiko na...
Salaam,
Nyumba inauzwa ipo banana (KITUNDA)
(8km from airport)
Maelezo:
Ina vyumba vinne vya kulala (kimoja ni master bedroom), jiko, sebule, store, dinning room na public toilet.
(Ukubwa wa...
Habari wana jf ...nilishawahi kuja humu kutangaza kuhusu uuzwaji wa nyumba iliyopo maeneo ya tabata segerea(maeneo kwa mashilingi)
SIFA ZA NYUMBA
1)Nyumba ina tiles na gypsum,umeme pamoja na Maji...
Nyumba ipo kibaha mkoani A au maarufu kama kwa mkuu wa mkoa nyumba ina makaratasi yote ya umiliki yapo umeme na maji vyote vipo ukubwa wa eneo lina upana wa mita 20 na urefu wa mita 30 (20×30)...
Kama inavyojieleza hapo juu....
Nyumba ipo maeneo ya kariakoo mtaa wa magila karibu Emelly hotel....
Inafaa kwa ujenzi wa hotel na fremu za maduka!!!
Bei ni 1.1b mazungumzo yapo!!!!
Namba ya...
Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa.....
Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!!
Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika...
Habarini za asubuh wadau, kuna nyuma inauzwa kigambon kata ya mji mwema eneo la kibugumo. Ni nyumba ambayo ipo ktika hatua za mwisho kumalizika. Kuna mambo ya yametokea kunahitajika pesa ya haraka...
Kwa yeyote anayehitaji sebule na chumba self maeneo ya tabata segerea just inbox me...
Kodi ni 100,000/= unalipa miezi sita..
No dalali nakupeleka kwa mwenye nyumba mkamalizane...
Patakua wazi...
Semi finished iko muembe mdogo, Kigamboni Dsm....in vyumba 3 kati ya hivyo 2 ni self contained, jiko na stoo yake,sebule na dinning room pamoja na public toilet. Imeshawekwa grills madirisha yote...
Nyumba ya vyumba vitatu,
a) Master bedroom na viwili vya kawaida.
b) Sitting Room na dinning room.
c) Ina choo cha ndanibkwa ajili ya hizo room mbili kukiwa na corridor moja.
d) Ukubwa wa eneo...
Habari.
Nyumba inapatikana Mikwambe-Kigamboni DSM, karibu na site ya mh. Ndugai (kitu maarufu).
Eneo limepimwa na ina hati tayari. ina eneo la skwea mita 801,
Nyumba ina vyumba viwili na master...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.