Jamani nimeona nafasi za kazi nyingi za kampuni ya ASES zimetangazwa kwenye magazeti na mitandao mbali mbali. Ningependa ku-apply but before doing that nahitaji information ambazo nimezikosa...
An international company from Shengzen is looking for motivated candidates for sales and marketing positions...satisfactory salary will be offered to the successiful candidates! send your cv to...
Wanajamvi naomba mnishauri: nimekaa kijiji(home) kwa muda wa mwaka sasa baada ya kumaliza degree yangu ya Accountancy na kutafuta kazi pasipo mafanikio yoyote! Nimeamua kuja Dar kwa lengo la...
Kinyume na kauli ya Waziri wa ujenzi Dr. Magufuli pamoja na Mtendaji mkuu wa Tanroads Eng. Mfugale, imebainika kuwa waliofukuzwa kazi Tanroads si watoto wa vigogo.
Baadhi ya majina ya Weighbridge...
Habari za humu ndani wadau?nimeona kuna baadhi ya nchi huwa kuna makampuni yanatoa mafunzo kwa waliomaliza degree(graduate training program) na huwa ni 2yrs au 1yr,je vipi kwa Tanzania ni...
SOTTA&PARTNERS CONSULTING LTD a market leader on Records Management Consulting and Training is organizing the "Records Managers' Day",if your a Records Manager/or working in any records...
Katika pitapita zangu huku mitaa ya mtandaoni nimekutana na site mpya ambao nao wanaweka latest job posts kutoka kwenye magazeti.
pia nimeipenda coz unaweza kujiwekea job alert ukawa unapata...
mimi ni kijana nliyemalimaza certificate in law mwaka 2010, lakini bado sijafanikiwa kupata ajira popote ..ninawaomba waungwana mnishauri hata pia mnaoweza kunisaidia nikapata ajira nitashukuru...
Wadau...
Nina rafiki yangu.. fani yake ni Udereva. Ni mzoefu wa muda mrefu.
Ametumikia Kampuni ya Mabasi na sasa amechoka lawama za tajiri. Mnahitaji udereva safari maalum mf. Gari za kuplekwa...
Elimu yangu ni ya kid.cha 6,"PCB".Nina ujuzi wa computer kidogo kutumia program kama Ms-word,Ms-Excel na Internet and E-mai.Kazi yoyote ambayo naweza nikamechi nayo kulingana na elimu yangu na...
Nimeona tume ya ajira imetangaza usaili kuanzia tarehe 25 october, ingawa umebadilishwa na kusogezwa mbele kwa ajili ya kusherekea sikukuu ya Id ila sijajua ni kada zipi, ajira zilizotangazwa lini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.