Rafiki yangu ni mwl wa leseni, anakatwa pensheni, ila hana diploma wala cheti cha ualimu, lakini amejiendeleza na kupata advanced diploma ya accountancy, sasa ameomba abadilishiwe kazi na muajiri...
Anatafutwa mtu mwenye uwezo wa kutengeneza muziki kwa kutumia program za Computer ili nimuunganishe nma mtu ambae ni mtaalamu kias lakini ana vifaa ambavyo vitawawezesha kufungua studio ndogo kwa...
Interdisciplinary environmental research in Africa
Position station manager
Position technician
In the framework of the research unit �Kilimanjaro ecosystems under global
change: Linking...
Amani iwe juu yenu!
Mim ni kijana 22, elim yang ni kidato cha 4, naishi Dar.
Nna ujuzi mzuri wa kompyuta (basic computer application). Pia nna ujuzi mzuri wa Graphics Design kwa kutumia Adobe...
Natamani ningekuwa mtoto wa kigogo na degree yangu niliyonayo leo hii ningekuwa mfanyakazi pale hazina, BOT or TRA lakini leo hii naambiwa nikajiajiri mtaji sijui napata wapi...
Tar 25-5 walitangaza nafasi mbalimbali, zikiwemo maafisa tawala, assistant lecturers usitawi na nyingine nyingi. Ila mpaka leo wanaitwa kwenye interview ni watendaji wa vijiji, kata na wapishi...
Haya wakuu, hivi ndivyo niwazavyo mimi, dont qoute me wrong!
Fursa za kujiajiri zinatokana na gap la ufahamu/ujuzi kati yako na watu wengine katika jamii/taifa. Pia kila mtu kwa wakati fulani...
Wale wahusika wa hii mambo wapitie pande za tangazo hili
MABADILIKO YA TAREHE ZA USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatarifu waombaji...
habari wana JF,hawa jamaa walitangazaga nafac za kazi za internal auditor,procurement na wholesale market clerk,vp washaita watu kwa ajiri ya interview?
mimi nimsichana wa miaka 27, nilisoma advance diploma in computer science, nilimaliza 2009 lakini tokea nimemaliza hadi sasa sijapata kazi nimepeleka maombi sehemu mbalimbali bila mafanikio wana...
Habari zenu wana JF, kuna rafiki yangu aliomba nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi hakuitwa kwenye interview kuna rafiki yake kamuunganishs na mwalimu wa CCP, kamwambia baada ya kuanza mafunzo...
In case you are in need for a part time accountant, here i am. I am employed already and would like to utilize my full capacity. I am a DBA,an ADA,PGDBA-Finance holder, with 4yrs of experience in...
A reputable beverage industry in Arusha is looking for machine operators
for filling lines. Candidate should have minimum experiance of 2 years on
beverage filling line machines.
Send your C.V to...
Kama kuna shule au chuo kinahitaji mwalimu wa somo la kiswahili;
yupo anapatika kwa ku-MP jamiiforums,
wasifu wake
1.BA with EDUCATION(2009)UDSM
2.Masomo aliyosoma
-kiswahil na HISTORY...
Naomba nsaidiwe ktk hili,binafsi yng halijawah kunikuta since nianze kuomba kazi na kufanya baadhi ya tempo jobs..ni hivi: Recently kuna kazi ya research assistant ktk NGO moja hapa dsm which is...
Jamani wana jamvi naombeni mnisaidie, mtu yeyote anayeifahamu hii kampuni ya hugo domingo naomba mnisaidie kunijuza kuhusu hii kampuni haswa kuhusu mishahara yao iko vipi?? Kuhusu security ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.