Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

nisaidien kunielekeza ofisi za solar aid zilipo,nimeambiwa ni msasan peninsula,je unashukia kituo gani kama ukiwa unatoka mwenge! na pia ofsi za gazeti la uhuru ziko sehemu gani!
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Nina mzee wangu ambaye ni kigogo serikalini sasa cjui jinsi gani ya kumwambia aniweke ktk sekta au taasisi fulani km watoto wengine wa vigogo wanavyowekwa na wazee wao...Msaada wajameni nitumie...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kimeonekana kile ulichokifanya.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
SEKRETARIAT YA AJIRA; Ndugu zangu napata shaka sana utendaji wa namna wa sekretariat ya ajira. Kuna wadau wameenda kufanya usaili nua kukutana na vikwazo vingi ambavyo vinatoa mashaka ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale walioomba kazi katika lile tangazo la hugo domingo vipi wameshaitwa kwa negotiation na kusaini contract ???????????????
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Nimehitimu chuo na nimesoma bachelor of science in WILDLIFE MANAGEMENT. Nimekua nikisaka job kwa nguvu zote bila mafanikio ila kadri siku zinavyokwenda ndio ninakua na nguvu zaidi za kusaka...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
POPO media (wamiliki wa POPO.co.tz - The place to rent anything!) wanatafuta mawakala kutoka mikoa/ wilaya zote za Tanzania. Mawakala hawa wanatakiwa kuwa ni: - Vijana waliomaliza elimu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
We are marketing company experienced and a leading provider of web-related solutions to market businesses. We have offices in both Lulea, Sweden and Arusha, Tanzania. If you are interested in...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Ladies Trekking Virtual Club is looking for the representative in Tanzania. She should currently not be employed in tourism sector but it is an advantage to have that experience. It is an...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wadau, hawa jamaa wanaitwa Data Aid walitangaza kazi za research assistant mikoa kibao hivi karibuni tukawa tumeomba.. sasa wakatutumia sms wakisema tumeshapata nafasi ila tutume 10,000 kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Enza Zaden Africa Ltd is a horticultural company that produces high quality hybrid seeds. The company is based in Tengeru, Arusha, Tanzania. It has 5 hectares of greenhouses and employs over 180...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
mimi ni mwanamke ambaye nina certificate ya secretariate,popote Tz
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Elimu yangu ni ya kid.cha 6,"PCB".Nina ujuzi wa computer kidogo kutumia program kama Ms-word,Ms-Excel na Internet and E-mai.Kazi yoyote ambayo naweza nikamechi nayo kulingana na elimu yangu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali inatarajia kutoa kauli ya kuruhusu fao la kujitoa kwa wafanyakazi kutoka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii katika kikao cha bunge kinachotarajia kuanza leo jumanne mjini Dodoma. hali hii...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
List of Shortlisted Applicants Required to Appear for Interview
0 Reactions
7 Replies
3K Views
mimi ni kijana nliyemaliza certificate in law mwaka 2010 lakn bdo sijabahatika kupata kazi,nipo tayari kufanya kazi popote..ninawaomba wenye mawazo wanishauri hata pia wenye kuweza kunisaidia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hihii tume ya utumishi ya ajira sina imani nayo ndugu zangu, naona yule mshikaji corruption yupo kabisa, maana mchakato wa interview na kufaulu wengi wanaopata zile nafasi zenye maziwa na asali...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Good news kwa wale wote mlokua na shahuku ya kwenda monduli. Nafasi za professional wa kujiunga na jwtz ni mwezi wa tisa. Get ready kuchapa mwendo. Hii ni kutokana na chanzo changu cha habar...
5 Reactions
21 Replies
19K Views
ndugu wana jf nadhan kwa wanaofuatilia kwa karibu nafasi za kaz znazo tangazwa na chombo hiki cha utumish wa ajira ni mashahidi kwa jinsi ajira hiz znzvyo chelewa yaani mchakato mzma hadi kuita...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima Mbele Great Thinkers!!! naomba kujua kama; 1.IST 2.HABARI NODE 3.POSTAL BANK 4.FHI360 5.TANESCO SACCOS WAMESHAITA watu hata kwenye interview. asante.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom