Nasikia kutoka kwenye vyombo vya habari kwamba shilingi ya Tz inashuka thamani na hii inatokana na kutegemea vitu kununua kutoka nje ya nchi. Vikifika nchini vinauzwa bei ya juu sana kwa...
wale waliokua wanasubiria second selection, bado nafasi 400 wanachuo waliofika ni 2600 wanatakiwa 3000 na kati ya hao 2600 kuna watu **** 17 wamefukuzwa kwa mapungufu madogomadogo kama mimba...
Kwa taarifa niliyoipata kutoka kwa chanzo cha kuaminika ni kwamba kuna kilaza na pimbi mmoja UDOM anauzia watu zile nafasi za kazi kwa wenye uhitaji kwa TZS 500,000/= mpaka sasa kashashika watu...
Katika pitapita zangu za hapa na Pale nimekutana na tangazo
WANAHITAJIKA watu WATANO wa designing wawe ni wataalamu wa kutumia ADOBE PHOTOSHOP
hawa jamaa wanaitwa BOMEI Advertising Production...
Nimehitimu mafunzo ya Uhasibu ngazi ya stashahada katika Chuo cha Elimu ya Biashara Dodoma (CBE) 2012.Natafuta nafasi ya kakazi popote hasa mkoa wa Dodoma.Pia nina ujuzi wa matumizi ya compyuta na...
Pilipili Print Design Solution
Bugurun Y2K/ Magari ya Muhimbili
Ni kampuni ambayo ina jihusisha
na shughuli zote za kuprint aina mbalimbali.
vipeperushi, bussnes card, mabango, tishet,kalender...
masikin cku hiz na vidgree vyetu tunaishia kuwa waalimu , kwenye nafasi nyingine kama huna mjomba huko imekula kwako. Watakuambia jiajira wakati watoto wakimaliza chuo ni BOT, Tra, nhif. Pspf...
World Vision Tanzania is urgently recruiting Gender& Advocacy Manager to be based in Arusha.
Purpose of the Position
To implement and monitor Gender & Advocacy programming, Child protection and...
Hivi nisaidieni maswali gani ya customer care yanayoulizwa nimejaribu kutafuta thro google wapi, mfano duties and responsibility za customer care ni zipi?! Au kuna sehemu naweza kupata info online?!
nimehitimu degree katika field ya ICT mwaka 2011, Baada ya kutuma application zisizopungua 80 pasipo mafanikio naomba kwa mwenye msaada kwani natafuta ofisi ambapo nitavolunteer kazi za ICT kwa...
Project Management Specialist;Democratic Empowerment Project
United Nations Development Programme (UNDP) Tanzania invites applications from qualified candidates to provide consultancy as...
kiukweli hawa jamaa wa ero link wanajitahidi sana kutafutia watu kazi huko voda,ila jamani mshara ni mdooooogooo mbaya yaani ni mdogo kwa mtu mwenye degree yake!maendeleo yataletwa na sisi wenyewe...
VACANCY ANNOUNCEMENT
Human resource (One Position)
Qualification & Functional Skills
1. College Degree or advance Diploma in Human Resource or behavioral Science 2. Knowledge...
habari wakuu tarehe ya usaili kwa wale watu wa mikoa ya dsm,kilimanjaro, manyara, tanga extra imeshatangazwa ingia website ya utumishi then naomba mnitajie mkoa wa kilimanjaro tunafanya lini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.