Wana Jf
Nimekuwa nikiambiwa kuwa wenzetu wa Nchi zilizoendelea mtu anaweza kufanya kazi part time online (with simple condition kuwa, awe na reliable source of internet)
Mimi nimesoma masomo ya...
Mmmh nimemsikiliza diwani wa kata ya kwadelo(kondoa) ITV leo kipindi cha kumekucha kwa kweli Hongera sana kijana,yeye kaamua kuhamasisha vijana wenzake walioko mjini wajiajiri katika sekta ya...
Heshima mbele wakuu,
natafta kazi ya kununua inayoendana na qualification zangu,
nimesoma BAEd,
nnko inservice kwa miak 9 ,
lakini kutokana na mazingira kandamizi sana ktk kazi naamua kutafta...
Inasikitisha sana hapa JF kwenye safu ya ajira, ikionekana tu kazi hiyo ni ya kutafuta masoko na kuzunguka na bidhaa mtaani(FREELANCE), Utasikia watu wanaanza kuleta dharau na kuisemea mabaya kazi...
Ndugu wazima,mm ni muhitimu wa shahada mwaka 2012 napenda sana kujiunga na jeshi napenda kutoka moyoni na nipo tayari kupitia jkt ila umri wangu kwa sasa ni miaka 25 je mwakani watanikubalia...
Naomba msaada wako.nimeingia www.zoomtanzania.com nimeona nafasi ya kaz ya data clerk sasa nataka mawasiliano na jina la kampuni husika.kwani nikiingia inaniambia sim yangu ainauwezo. 071293901...
Are you looking for a job? want to change career? dont hide your CV in drawers.
You can register and display it at muejobs.com
Let your skills and job experiences get known to employers
You...
Back ground
The Wildlife Conservation Society of Tanzania (WCST) is a national Non-governmental (NGO), non-profit making and membership based civil society organization. Established in 1987...
Habari wana JF,
Nimeitwa kny usaili na hawa jamaa wa Access Bank Mwanza niliomba tu kama Bank officer, nimesikia tetesi kwamba hawa jamaa hamna kitu kabisa kwenye ulipaji. Ntashukuru kama ntapata...
wakuu, mimi nina BA Econ. na namalizia Masters ya CED (community economic development)hufanya shughuli zangu binafsi kama Independent Development Consultant-Resource Mobilisation, management and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.